watoto wetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

    Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani. Wanafunzi wanabet...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Desturi za wasukuma

    ◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau ◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume ◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake...
  3. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu fanyieni mabadiliko mapungufu haya katika utekelezaji wa mtaala mpya. Yana athari kubwa! kwa watoto wetu

    Changamoto za utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu ni suala lenye uzito mkubwa, hasa linapogusa mustakabali wa wanafunzi wachanga walioko katika hatua za mwanzo za elimu ya sekondari. Ingawa mtaala huu una nia njema ya kuimarisha mfumo wa elimu na kutoa mwelekeo wa mapema kwa wanafunzi, bado kuna...
  4. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Afya ya ubongo pamoja na maendeleo yake kwa watoto wetu miaka 0-20

    Wakuu habari za leo, Huku tukiendelea kupambana na maisha tukumbuke kuacha kizazi chenye akili sawa sawa! Ubongo ndo kila kitu jamani kwenye maisha ya kiumbe japo vingine havina ubongo lakini lazima kuwe na system mbali mbali ambazo zinaendesha sehemu zingine za mwili wa kiumbe huyo! Kama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Umakini katika Kuadhibu watoto wetu

    Nilikua natumia muda kufikiria namna gani ni mwadhibu mwanangu kulingana na kosa alilotenda, kiasi kwamba mpaka nahairisha kumwadhibu au nasahau. Nimelelewa na mzazi ambaye anapiga balaa, yaani anatandika kinouma. kiasi kwamba ninamuogopa mpaka leo. Lakini katika kusoma soma kwangu nikapata...
  6. NESARA1952

    JamiiForums Tanzania Mfundisho kwa watoto wetu

    MAFUNDISHO MUHIMU KWA WATOTO WETU
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wenye wadogo zetu wenye umri sawa na watoto wetu tukutane hapa

    Wakuu kuna mambo ambayo kisheria yako sawa ila kiustaarabu yana ukakasi. Kwa mfano hili suala la wazee wa zaidi ya miaka 60 kuwa na mtoto mdogo na kabinti. Yaani kabinti kadogo kanachopaswa kukuamkia. Mbaya zaidi unakuta mzee kiuchumi hayuko poa inabidi tena umpige tafu. Hii naona haiko sawa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania WAAFRIKA tuwaambie watoto wetu ukweli huu

    Waambie watoto wako ukweli! Waambie yote yalianza huko Misri (Ustaarabu wa hali ya juu, sayansi, hesabu, falsafa, dini, usanifu). Waambie Wamisri wa kwanza walikuwa weusi, hakuna uhusiano wowote na sinema za Hollywood. Waambie Christopher Columbus hakugundua A.Mericas, kwamba Mansa Musa...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je tunafahamu watoto wetu wanakula vyakula gani mashuleni?

    Disclaimer: Uzi huu ni mawazo ya mwandishi pekee na wala hauna nia ya kuharibu biashara yoyote ya mtu bali kuelezea jamii kuhusu hatari ya kemikali katika vyakula Katika pitapita zangu nilikwenda kumpa hai rafiki yangu maeneo fulani hapa mjini, nilipata mwaliko wa sikukuu ya Idd hivyo niliona...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  12. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi. Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine. Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi. Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa walimu hautakoma, tunaua watoto wetu

    Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali 1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu Yaani walimu ikifika saa 4...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  16. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  17. Shanily

    JamiiForums Tanzania Tunawezaje kuwalinda watoto wetu dhidi ya maudhui yasiyofaa kwenye TV?

    Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki. Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo. Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

    Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten. Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watunzeni Watoto wetu tusije kusikia kesi za Ujauzito

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024. RAIS SAMIA...
Back
Top Bottom