watoto wa 2000

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 Almaarufu kama Gen Z uwezo wenu wa Akili ni mdogo kuliko vizazi vingine

    Kama inavyoonekana hapa Gen Z uwezo wenu wa akili umethibitika kuwa ni mdogo na hiyo ipo wazi tunaiona hata kwenye maisha ya kila siku. Hata hivi juzi kuna mhadhiri wa chuo kikikuu cha Dar es Saalam alieleza pia. Hivyo mnatakiwa mtuheshimu sana sisi kaka na dada zenu Millennial. This major...
  2. fact only

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 kaeni mbali hapa

    Watoto wa 2000...... wakitazama haya mavazi na miondoko ya hii video watasema ni Gospel. song: pole kwa safari.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi awataka wastaafu Uhamiaji kujiepusha na anasa, watoto wa mwaka 2000

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa upweke. Pia amewataka wastaafu hao kulinda afya zao, kumrudia Mungu na kuwa waaminifu katika ndoa...
  4. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu : Elezea kero unazo kumbana nazo / maoni yako kwa watoto walio zaliwa mwaka 2000 na kuendelea

    Ndugu zangu.. Uzi huu ni maalumu kwaajili ya kuelezea kero unazokumbana nazo kutoka kwa watoto waliozaliwa mwaka 2000 na kuendelea ,pia unatoa fursa ya kuweka maoni yako ni nini hasa kifanyike kuokoa kizazi hiki maarufu kama kizazi cha buku mbili ili kirudi kwenye maadili sahihi ukizingatia...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Dini mpya yaibuka Tanzania, Kumbukizi miaka 5 iliyopita mwana JF Likud aliwahi sema Genz hawana dini

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii naichukulia kama kumbukumbu maishani mwangu kwamba usiepende kukaa unapinga kila jambo Mwana JamiiForums Likud miaka takribani saba iliyopita aliwahi sema humu jukwaan kuwa watoto wa mwaka 2000 hawana dini kipindi hicho jina la Genz...
  6. M

    JamiiForums Tanzania sababu za Gen -Z "watoto wa 2000" kupata mafanikio kwenye maandamano nchi nyingi, Wakubwa tuache kuwadharau, wanayofanya sisi tulishindwa

    Hawa watoto wa 2000 wana moto mkali sana, wamefanya vitu ambavyo sisi wakubwa zao tumeshindwa kwa muda mrefu sana. Gen Z wakiamua lao ni ngumu kuwapooza au kuwa supress, mifano michache ni wiki chache zilizopita, Nchini Nepal wameweza kufanya mabadiliko ambayo wakubwa hawakuweza kwa miaka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, ushauri kuntu wa wahenga unapoulizwa na 'watoto wa 2000'

    Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote. Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

    Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana. Apo kwanza ngoja nicheke. Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa elfu 2 amkomalia jamaa wa 80 alie mtorosha ndege wake

    Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini katikati, themanini mwishoni na tisini pamoja na kaka zetu wa themanini mwanzoni na wale wa miaka ya sabini, tuache kushobokea issues za watoto wa elfu2 coz wana dunia Yao ya peke Yao. And they don't like us wanasema sisi washamba. Watoto wa tisini tu...
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watoto wa 2000 ndo wataitoa CCM madarakani

    Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma degree Ila anakuja kulipwa 150K Kizazi kinachopitia mateso . So hiki kizazi Serikali inatumia nguvu...
  13. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanapenda wanaume matajiri

    Wadada Wanataka Wanaume Matajiri wa pesa alafu wao Ni maskini wa Akili,Utajiri na Ujinga Havikai sehemu moja", Ndio Maana Badala ya kuwa Na wadangaji mabilionea tuna wadangaji masingle mother wanaoita Wanaume wote Ni mbwa 😂😂😂", Wadada kumiliki Hela Sio kitu Rahisi,Ingekuwa Ni Simple Baba Zenu...
  14. Mzee wa makamo

    JamiiForums Tanzania Unaikumbuka kesi ya Zombe; watoto wa 2000 kaeni mbali kidogo

    Kesi ya Zombe ni moja ya kesi maarufu za mauaji nchini Tanzania. Inamhusisha aliyekuwa Afisa wa Polisi, Abdallah Zombe, na maafisa wengine wa polisi waliotuhumiwa kuhusika na mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini kutoka Mahenge, mkoani Morogoro, mwaka 2006. Maelezo ya Kesi Mnamo Januari...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake

    Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
  16. R

    JamiiForums Tanzania Finally watoto wa 2000 wamekuwa wazee, 2005 ndiyo habari ya mjini

    Kuna kundi kubwa la wazee wa 2000 walitusumbua sana hapa miaka ya karibuni wakitaka haki ya kumiliki shirika la mapenzi Kuingia kwetu 2025 kumewaondolea rasmi haki miliki ya mapenzi na badala yake sasa wamesajiliwa kwenye kundi la wazee. Hakuna mtu mzima wa 2000 asiye na familia, la sivyo huyo...
  17. Fallback

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 90 na Watoto wa 2000 naomba mpite hapa kuna kitu cha kujifunza

    Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000. Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale...
  18. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Wanao date na watoto Wa 2000 sijui wanawezaje?

    Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana. Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda wote,vinaweza kukufuata sehemu ya kazi vikatia kambi hapo kinakupigisha stori hakuna cha maana. Mimi na viona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania 'Madogo' wa miaka ya 2000 kila kitu wanajua wao

    WanaJamiiForums, habarini! Vilio vya ugumu wa maisha vimezidi kushika kasi siku baada ya siku. Zaidi vilio hivi vinatoka kwenye kundi hili la hawa vijana wa 2000 kuja juu. Ukizingatia ndilo kundi ambalo limemaliza vyuo vikuu na kwa ukubwa lipo mtaani. Wadogo zetu hawa siwasemi na wala...
  20. excel

    JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
Back
Top Bottom