watoto wa 2000

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 bwana!! Eti Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Jaydee; really!?

    Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika humu JF eti haka kakisabengo ndiko kaandishi bora wa maandishi ya muziki. Tofautisha kati ya...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  3. Msuli wa mbu

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  4. papag

    JamiiForums Tanzania Wa 2000 mnawajua hawa?

Back
Top Bottom