Ok! ngoja nichungulieWatoto wa 2000...... wakitazama haya mavazi na miondoko ya hii video watasema ni Gospel.
song: pole kwa safari.
View attachment 3625049
Ni watoto tu sema wako race Mkuu.Wa 2000 sio watoto tena , wewe mwambie aje kwa juu ndio utathibitisha ninachokisema View attachment 3625069
Anaitwa sinta amepotea sana sijui yuko wapi siku hiziHuyo sio Ex wa kiroboto juma nature anatimiza miaka 30 bongo flaver
Enzi hizo wakati nauangalia huu wimbo nilikuwa namuona Juma Kakere mzee na Sinta Mkubwa ila kwasasa naona Juma Kakere bado Kijana Sana na Sinta Mbichi wa moto sana.Watoto wa 2000...... wakitazama haya mavazi na miondoko ya hii video watasema ni Gospel.
song: pole kwa safari.
View attachment 3625049