watetezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Watetezi wa Haki za Binadamu Uganda wataka tume ya uchaguzi kutoa ufafanuzi video ya tovuti inayoonyesha Matokeo Mgombea Bobi Wine kushinda urais

    Watetezi wa haki za binadamu wanaounda mtandao wa NUPUSA (Network of Public Interest Lawyers and Human Rights Defenders in Uganda) wameeleza wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa zinazohusishwa na Mbunge wa Upinzani wa Jimbo la Kawempe North kuhusu kuwepo kwa tovuti ya mtandaoni ya matokeo ya...
  2. M

    THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  3. Tarehe kama hii mwezi ujao, wapinga Ufisadi, Utekaji na Watetezi wa Haki watakuwa hot cake kwenye Taifa

    Leo ni tarehe 20 Oktoba 2025 Tarehe kama hii ya leo mwezi ujao credibility ya Mwanasiasa, Kiongozi wa dini, msanii wa injili, msanii wa bongo flavour au mwananchi yeyote yule itapimwa kwa jambo moja tu nalo ni kama aliwahi kupaza sauti kukemea mauaji ya watanzania, utekaji wa watanzania...
  4. Familia yangu imeniambia haioni faida Yoyote ya mimi kutetea haki hasa Haki za watu wanafiki na wabinafsi

    Hamjambo wanabodi! 1. Nilipewa siku tatu za kuandaa hoja nzito za kwa nini niendelee kutetea Haki mtandaoni na kuwapigania Watanzania. 2. Baada ya siku tatu kuisha. Niiwasilisha hoja zangu mbele ya jopo la wazee wangu wenye umri wa kutosha, elimu isiyo ya Kubabaisha, uzoefu na exposure ya...
  5. I

    Watetezi wa Haki za Watoto wapigwa msasa kuhusu matumizi ya mifumo na uandaaji wa ripoti madhubuti

    Inaelezwa kwamba muda mrefu, watetezi wa haki za watoto nchini Tanzania wamekuwa wakikumbwa na changamoto nyingi katika juhudi zao za kuandaa na kutumia mifumo rasmi ya utetezi wa haki hizo. Ukosefu wa ujuzi wa kiufundi wa kuandaa ripoti mbadala, uelewa mdogo wa mifumo ya kimataifa ya haki za...
  6. A

    Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

    Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
  7. PreGE2025 Watetezi wa utekaji, mauaji na watu kupotea jipangeni angalau kwa hoja zenye akili na mashiko

    Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa. Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga...
  8. Kuna watu ni watetezi wa wapalestina ila wanafurahi kupigwa Kwa wanachadema!

    Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu. Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia kupigwa. Nilipomwambia wanachofanyiwa CHADEMA ni kama wanachofanyiwa wapalestina na Israel, akachachama...
  9. USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

    Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria. Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili. JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge...
  10. Tundu Lissu alipomkosoa baba wa Taifa na muungano alisakamwa sana. Hayati Magufuli mbona hana watetezi kama wengine?

    Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias . Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
  11. Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  12. Siku ya Kimataifa ya Wanawake watetezi wa Haki za Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba. Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake. Mwanzo wa...
  13. U

    Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  14. Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  15. Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

    Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na...
  16. Kwenu watetezi wa ndoa

    Mmekua na kasumba wa kutushambulia ambao hatutaki ndoa lakini insasikitisha sana mashambulizi yenu huwa hamlengi kwenye point mahususi. Utetezi wenu huwa unalenga zaidi kwenye dhiaka mfano kataa ndoa ni mashoga, hawana hela, wamelelewa na single parent, wana trauma n.k lakini kwenye point huwa...
  17. B

    Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

    Katika hali ya kushangaza kumetoka aidha mgomo au chama kimekosa Mvuto kabisa. Wengine wanadai aaah wapi sio kukosa mvuto bali chama hakitoi maokoto kama zamani hivyo watu wanaovutwa na mafumba wamekikacha. Enzi za huko nyuma tulishuhudia social media zilizobamba kwenye anga la Tanzania...
  18. Hizi ni posts zilizotengenezwa na jeshi la israel

    https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto, wazee, wajane n.k, na wala hawajali. Ndugu zangu waislamu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kwa mitihani...
  19. M

    Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

    Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki. Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi...
  20. R

    Kwanini CCM imekubali kudhalilika? Kwamba bandari imebaki na Kitenge na Mwijaku kama watetezi? Na tunaona tupo njia sahihi?

    Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ? Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…