watendaji wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    KERO Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki

    Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki “Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kinaonesha kuwa kimekusa utendaji wa Serikali za Mtaa kwa asilimia kubwa. Hapa kwetu Dodoma hali...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC awajia juu wanaodai uwajibikaji wa watendaji wa serikali. Asema tusijidanganye kwamba 29 Oktoba kulikuwa tu na mauaji ya raia

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika: Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
  3. R

    Wakili Willbard Kilenzi: Watendaji wanaovujisha Nyaraka za Serikali waadhibiwe

    Wakili wa kujitegemea jijini Mwanza, Willbard Kilenzi ameishauri serikali kuwasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya watendaji wa umma wanaovujisha nyaraka za serikali kwa watu walio nje ya mfumo wa utumishi serikali, jambo linalosababisha nyaraka hizo kupotoshwa na kuleta...
  4. MamaSamia2025

    GE2025 Viongozi wa umma, wanasiasa na watendaji wa serikali wawabane watoto wao kutopost mali wanazomiliki

    Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina...
  5. ndege JOHN

    Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  6. figganigga

    CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️"

    Hii Nchi inahitaji katiba Mpya. CCM yawataka watendaji wa Serikali kusambaza neno la "OKTOBA TUNATIKI✔️" Ndugu yangu Nimemuuliza kulikoni? Akajibu ni Maelekezo. Je hii ni haki? Watanzania tushakubaliana neno la taifa ni No reforms no Election.
  7. M

    Sakata la kudharauliwa na kukashifiwa uislam, waislam kupitia watendaji wa serikali kupitia alama zao za utambulisho; ni ideology warfare

    Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya kumthibitisha Mwalimu kwa kuwa anafuga ndevu nani Mvaa kanzu. Barua ile si tu ilimkashifu Mwalimu bali...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Mameo: Watendaji wa Serikali acheni kumdanganya Rais 'Mama hatukudai' wakati barabara hazipitiki

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo, akiongea katika ibada ya Ijumaa Kuu katika usharika wa Ifakara Mjini, ametoa wito kwa Watendaji wa Serikali kuto mdanganya Rais kwa kumwambia 'Mama hatukudai' wakati kuna mahali barabara hazipitiki.
  9. Jamii Opportunities

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza nafasi za kazi kwa watendaji watakaosimamia Uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar. Kazi...
  10. Q

    SI KWELI CCM yatoa barua inayohusu kuhujumiwa na Watendaji Serikali za Mitaa

    Baada ya mipango yao ya kuandikisha watoto kufeli leo Chama cha Mapinduzi kimesema kinahujumiwa na viongozi na mawakala wao na watendaji wa serikali za mitaa.
  11. Fallback

    PreGE2025 LGE2024 Nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo

    Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii? Wanapigiwa...
  12. Suley2019

    PreGE2025 Rais Samia awapa onyo Watendaji wa Serikali wanaoingilia maeneo ya malisho ya Wafugaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika maeneo yao ya malisho kama ilivyo elezwa kwenye GN. Aidha Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa...
  13. P

    SoC04 Mabadiliko katika ngazi za kiutawala ndani ya miaka 5 mpaka 10 ijayo Tanzania hii inawezekana

    Uongozi katika nchi yetu umegubikwa na wingi wa watendaji wa serikali ambao wanapelekea wingi wa matumizi ya pesa za serikali ambazo zingefaa kutumika katika sekta mbalimbali. Andiko hili litaenda kugusia namna mabadiliko ya kiutawala katika ngazi ya vitongoji, vijiji, tarafa, wilaya mpaka mkoa...
  14. mangiTz

    Watendaji wa Serikali wenye mamlaka zioneeni huruma kodi za watanzania

    Salaam wana JF Weekend imeendaje kwenu Moja ya vitu vinasikitisha katika mamlaka na baadhi ya watendaji wasio waaminifu ni kufuja mali za umma na wizi uliokithiri Hii huenda imeshuhudiwa na wengi zaidi na vingine vikionekana tu viashiria lakini hakuna jibu la moja kwa moja kubwa kuna wizi...
  15. H

    SoC04 Viwanda vidogo Mwokozi ukosefu wa ajira Tanzania

    Viwanda vingi ndani ya kila mkoa au wilaya ni mwokozi wa ajira Kwa vijana wasomi na wasio wasomi. Kiwanda sio lazima kiwe kama vile vya mo au azam ndio kiwe kiwanda hapana viwanda viko kwenye makundi matatu kundi la pili nala tatu watanzania tuna limudu. Watanzania tujifunze kuanzisha viwanda...
  16. Erythrocyte

    Chalamila amewaagiza watendaji wa serikali kuangalia upya utaratibu wa kuingia katika nyumba za wageni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza watendaji wa serikali kuangalia upya utaratibu wa kuingia katika nyumba za wageni maarufu kama gesti ikiwezekana kuwepo na vitambulisho ili kujihakikishia usalama zaidi. Chalamila amesema hayo leo Januari 15, 2024 jijini Dar es Salaam...
  17. M

    SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  18. AbuuMaryam

    Tunaomba Serikali ilizingatie hili katika ajira kwa maafisa watendaji wa Serikali za vijiji na mitaa

    Huku ndiko kwenye mashina ya wananchi, ndipo wanapokutana na wananchi moja kwa moja kutatua changamoto zao. Kama vile migogoro ya ardhi, familia na kimkataba. Lakini serikali inatuletea mabinti wadogo wadogo, kweli kuja kusikiliza migogoro ya ndoa, familia na kiuchumi kweli? Wanasikiliza na...
  19. CM 1774858

    DC Shaka: Nitahakikisha Watendaji wote wa Serikali ambao ni wanufaika au chanzo cha migogoro baina ya wakulima na wafugaji wanachukuliwa hatua Kali

    Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka, Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa. Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na...
Back
Top Bottom