wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

    Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25. Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje. Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
  2. JamiiForums Tanzania Wenzetu Wachina wanaogombania wateja na wafanyabiashara

    Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi. Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code kuhusu biashara za bara la asia zilivyo ili kuendelea kuwa mteja wake usisanuke. Wachina wamejikuta...
  3. JamiiForums Tanzania Unawatambua wateja wako? Wateja wapya ndiyo wanaotuweka Mjini

    Katika biashara kuna mambo mengi sana ya kufanya ili uweze kufanikiwa na kufika sehemu ukaona faida ya biashara,Katika mambo mengi kuna moja ambalo wafanyabiashara wengi hawalitambui na wachache sana wanaolifhamu na kwa uchache wao wanafaidika na kukaa kimya. Mimi kazi yangu kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

    Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk. Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
  5. JamiiForums Tanzania Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia nimesoma course kadhaa za biashara mf. DIGITAL MARKETING. Nimefanya kazi ya Mauzo Kwa kuzunguka na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Kampuni Tz yenye Huduma bora zaidi kwa wateja zaidi ya Sokabett?

    Oiii wadau, sijui ni mimi tu ila sikuhizi napigiwa sana simu na watoa huduma wa makampuni mbalimbali hasa haya ya kubettisha na kiukweli huwa mara nyingi nawamind kwasabab nakua niko busy na shughuli zangu. Ila kuna hawa wahudumu wa Sokabet weeee, kwanza sauti zao tu! zinashawishi unatamani hata...
  7. JamiiForums Tanzania Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

    Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi : Kibaha hadi Kibamba Sifa: Awe anajituma Mshahara : Maelewano Piga : 0713-039 875 kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  10. JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

    Salam za Jumatatu. Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk. Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna. Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
  11. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  12. JamiiForums Tanzania Mkopo wa haraka unahitajika ili kukamilishaoda za wateja.

    Wakuu habari zenu Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu) Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki...
  13. JamiiForums Tanzania Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri: Oda za wateja zimezidi mtaji nilionao

    Niende kwenye mada mojakwamoja Nimestack wakuu mimi najishughulisha na kusupply vifaa mbalimbali. Sasa toka mwezi October nilianza kufanya usambazaji wa bidhaa kwa wateja ila hadi kufika mwezi huu oda zimekuwa nyingi kuzidi mtaji na teyari nimepokea oda mpya na nimehadi kupeleka bidhaa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi kwenye huduma ya PostPaid

    Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data. Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo. Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
  16. JamiiForums Tanzania Taadhari Kuna Wizi wa pesa katika Baadhi ya benki zetu kupitia huduma za Kibenki kwa njia ya simu. Wateja wa benki tuchukue taadhari. Mamlaka Ziamke!

    Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu. Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha. Tukio lenyewe...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaendesha semina kwa wateja wake wa mkoa wa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika ufunguzi rasmi wa Semina ya siku moja kwa Wateja wa Benki ya CRDB wa mkoa wa Tanga, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Regal Naivera jijini Tanga, Novemba 14, 2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wateja Gani ulikutana nao wakakupa changamoto? Wa kwangu huyu hapa

    Hello wadau!! Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa. Straight to the topic Miaka ya nyuma kidogo hiyo siku ilianza vizuri TU ila mishale ya saa 7 hivi nikapokea taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…