Zamani, akichaguliwa au kuteuliwa mtu, lazima historia na maisha yake vijulikane, familia, elimu, maadili, umri nk
Siku hizi, wanachomolewa watu wasiojulokana na kusikojulikana na kuteuliwa na kuendelea kukaa kwenye ofisi zetu.
Mfano, nani anajua historia ya Waziri wetu wa fedha wa sasa...