watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

    Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio? Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka? By Boss la DP World aka boss la makobazi.
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa? 2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala? 3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi? 4. Tunalipa kodi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

    Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan unapaswa kuchunguzwa kwa undani, siyo tu kwa...
  11. YoungPastor

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo jambo linalotuumiza Watanzania

    Waswahili wanasema " Mungu sio athumani" Wamaasai wanasema " menya engai enanya oltung'ani" Wasukima wanasema "Osebha ademnthu" n.k Yote hayo ni kujaribu kutilia mkazo swala la kuthamini na kumhofu Mungu, na kuonyesha utofautu wake. Kiapo; Ni aina nzito ya ahadi—maneno tunayosema mbele za...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye uwezo kuwa CEO's wa multilateral companies tunakwama wapi? Kama Helios Towers Watanzania wameweza huko, kwingine tunakwama wapi?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo. Huu ni muendelezo wa sisi Watanzania kujitathmini uwezo wetu wa uongozi kwenye corporate level, jee Watanzania tuna uwezo wa kuongoza makampuni makubwa profitability, kama ATCL, SGR, TAZARA etc na yaka oparate kwa...
  13. Themoneyhollic

    JamiiForums Tanzania AI Iliyogunduliwa na waTanzania, Ai ya kitochi yashindanishwa Google Ai for developers

    Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com 💣Usisahau kuweka number tukishinda kutakua na mkono wa shukrani
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kutekwa Kwa Lema Ndani ya Ndege Kwa Ufunua Ubinafsi Wa Watanzania.

    Ndugu Watanzania! Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea ukamataji wa aina ile zaidi ya utekaji. Akiwa katika Maria Space, Lema ameeleza jinsi alivyochukuliwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

    Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua. Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusidanganyane ni muda wa karia to go

    I wll be short 1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned. ie : yanga watapewa Azam fc wakitaka tu kwenda nusu fainali. au robo fainali. kama last season. kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana imani kubwa sana na Paul Makonda na kamwe Lissu hawezi kushusha na kuondoa imani hiyo

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema ya kuwa Lissu atahangaika sana,ataongea sana lakini kamwe na katu hataweza kumchafua wala kushusha imani waliyonayo watanzania kwa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara. Ambayo imejengwa katika misingi ya...
  18. excel

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania wajinga nenda Facebook kaangalie wanavyokomenti kwenye habari muhimu na habari za udaku

    Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma. Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
  20. Fabolous

    JamiiForums Tanzania Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

    Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017...
Back
Top Bottom