watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuanze Kujilinda na Watu Wasiojulikana

    Majumbani kwetu tuwe na sime, panga, rungu na mbao zilizopigiliwa misumari(kutega kwenye tairi pindi gari la wasiojulikana linapoanza kuondoka likanyage tairi litoboke). Tujitahidi kwenye makazi yetu tuanze kufunga CCTV Camera. Kwa wale ambao hatuna uwezo wa kumiliki bastola basi tutembee na...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wakamatwa Kenya wakiuza Pembe za Ndovu

    Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) huko Mombasa wamewakamata raia wawili wa Tanzania kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya pembe za ndovu zenye thamani ya Ksh milioni 3.3. (Takriban Tsh. Milioni 56) Katika operesheni ya pamoja na maafisa wa Kituo cha Polisi cha Mtwapa...
  3. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana Awataka Watanzania Kuwaenzi Mashujaa

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na ubinadamu walioupigania ili kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi. Ametoa kauli hiyo leo alipokuwa mgeni rasmi katika Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa...
  5. mchemsho

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanahitaji zaidi Akili kuliko Oxygen

    Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana. Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila sehemu. Kama ilivyokuwa kwa Simba. Utashangaa hawa watanzania hawajui Wabunge wao hawapo Bungeni. Na...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wamarekani kumkataa Harris Kamala, 2025 Watanzania wanajua cha kufanya

    Wazee baada ya Kamala haris kupigwa na kitu kizito sasa kituo kinachofata ni Tanzania. Waswahili husema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji. Baada ya siasa za Tanzania kudumaa na kushindwa kubadilisha maisha ya watanzania ikiwemo hali mbata ya uchumi, bei za bidhaa kupanda juu, Thamani ya...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?

    Wanabodi, Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke? Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
  10. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda mafanikio lakini sio watoaji

    Nilikuwa kwenye uzinduzi fulani wa kituo Cha watoto yatima mtoa hotuba alikuwa akilalamika watanzania hawajitoi kusaidia watoto wao misaada mingi inatolewa na wazungu na matajiri huku watanzania wengi wanatoa pesa zao nyingi kwa manabii kuchangia harusi na kuvaa vizuri wakisahau kama Kuna watoto...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wana msongo wa mawazo (stress) kwasababu hawafanyi Utalii wa ndani

    📖Mhadhara (56)✍️ Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana mambo ya hovyo kuliko mambo mengine mazuri. Tanzania ni nchi ambayo imejaaliwa kuwa na vivutio vingi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi 2022 idadi ya watu nchini ni milioni 64

    Wakuu leo katika pitapita za hapa na pale mtandaoni nimekutana na hii kauli ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara, Benson Kigaila kuwa idadi ya watanzania ni milioni 64 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Bara Je uhalisia wa hili ni upi wakuu?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel: Watanzania tufuatilie anachokisema Profesa Janabi

    Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya amesema: "Nimekuwa nikiwasisitiza wabunge na Watanzania kwamba elimu mbalimbali zinazotolewa na wataalam wa afya, lakini elimu anayotoa Profesa Janabi na madaktari wangu wengine wote, tuhakikishe tunasikiliza na kufuatilia ili tuweze kuishi maisha ya afya."
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

    Wanaukumbi. Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka watanzania kuamua hatima yao wenyewe kwa kukataa kuburuzwa

    Tundu Lissu ataka watanzania wachukue hatua kukataa ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Na Jumatano, Oktoba 30, 2024 Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amewataka raia kukomesha vitendo vya kutokujali na ukatili wa polisi kwa kuwachagua viongozi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 TAKUKURU: 23% ya Watanzania wanapendelea Rushwa, Uchaguzi watajwa Kama "Wakati wa Mavuno"

    Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Joseph Kasongwa Mwaiswelo, amesema utafiti wa taasisi hiyo uliofanyika mwaka 2020 umebaini kuwa asilimia 23 ya Watanzania, sawa na watu milioni 15, wanapenda rushwa. Aidha, matokeo ya utafiti huo yanaonyesha...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa uzalendo wa kweli miongoni mwa Watanzania ndio sababu ya CCM kushinda kila uchaguzi. Nov 2024 CCM itashinda, Oct 2025 itashinda tena

    Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  19. chiembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wampinga Rutto kujiongezea muda wa urais uwe miaka 7

    Hii hatari tuiepuke, wenzetu wamenogewa, wanataka kujiongezea muda wa urais na ubunge kwa miaka saba! Idumu katiba ya 1977.
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

    Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa. Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea. Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki...
Back
Top Bottom