watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  2. JamiiForums Tanzania Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    °Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Watanzania wasiojua Kiswahili?

    Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku! Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu. Aliniponipeleka alikopaita gesti, japo nilimshukuru lakini sikukubali kulala hapo! Kwa nini? 1. Tulikutana na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shime ndugu Watanzania, twendeni tukajiandikishe Kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

    Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo. Mungu ibariki Nchi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

    Wanajamvi habari zenu, Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya benki hapa nchini. Hii benki nimekuwa mteja wao tangu 2006 kama sikosei nimeshakopa kwao kwa zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  8. JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania kutajwa kwenye jarida la Forbes huwa inakuaga kama mkosi?

    Jarida la Forbes ni jarida maarufu zaidi duniani kufuatilia watu mashuhuri hasa matajiri au vijana wanaotegemewa kuwa mashuhuri au wenye ushawashi mkubwa sana siku za mbeleni. Kwa nini Watanzania wengi vijana wanaotajwa katika hili jarida huwa wanapotea katika ramani au wanabaki wa kawaida tu...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

    Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je...
  11. JamiiForums Tanzania Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  13. JamiiForums Tanzania Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

    Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali ⦁ Nawashukuru kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda amerejea baada ya likizo

    Makonda amerejea baada ya likizo ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria. Waliosema kada watakufa wao kabla yake ila awe makini USSR
  16. 4

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wenzangu tujindikishe kwa wingi kupiga kura chadema itaenda waletea chuma

    Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua Wakuu andiko langu litakua fupi sana. Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tuna discipline au tuwaoga?

    Binafsi naona watz tuna discipline lkn kwa upande wa uwoga sina uhakika wewe unasemaje
  18. JamiiForums Tanzania Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

    Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanajua nini kinaendelea kwenye elimu yetu

    Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni? Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya kujiunga vyuo vikuu na vya kati ni sawa? Nini athari zake kwa vyuo vikuu na kwa vyuo vya kati, nini...
  20. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sauti ya Watanzania kusagia kunguni CHADEMA kila siku, wanatumiwa kudhoofisha chama

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike. Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…