watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Tuvumiliane na kuheshimiana kama watanzania

    Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya Tsh. Trilioni 3.1 migodini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini ambayo kwa mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya kiasi cha Tsh Trilioni 3.1 zimetumika katika eneo la...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania Tujue Thamani ya Uhai wa Mwanadamu

    Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali. Vyeo na madaraka hupewa mtu yeyote ambaye wanadamu wameamua, lakini tujue kuwa hata katika umoja...
  5. JamiiForums Tanzania Haki Tanzania na 4R za Samia, Ni Mabadiliko ya Kweli au ni Kiinimacho?. Watanzania Waelimishwe Haki Zao, 4R Zisiwe Maneno Matupu, Tuombe Vitendo au?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

    Ndugu zangu Watanzania, Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

    Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Awataka Watanzania Kuchangamkia Manunuzi ya Bidhaa ya Trilioni 3.1 Migodini

    WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA MANUNUZI YA BIDHAA YA TRILIONI 3.1 MIGODINI -Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini -Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora -Awataka kushirikiana na kusaidiana -Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  11. JamiiForums Tanzania Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  12. JamiiForums Tanzania Kamera za CCTV kifaa muhimu kinosaidia kupata ushahidi. Watanzania wajizoeshe kukusanya ushahidi na kuuhifadhi kwa kutumia simu ya mkononi

    Moja kwa moja kwenye mada na leo nazungumzia umuhimu wa kamera za CCTV. CCTV (closed- circuit television) ambayo pia yajulikana kama video ya uchunguzi au Video Surveillance ni kifaa muhimu sana cha ulinzi kwenye dunia ya leo. CCTV hutumika katika maeneo ya umma kwa minajili ya kubaini na...
  13. JamiiForums Tanzania Utu wa Watanzania uko wapi?

    Historia ya Israel kuhusu usalama wa raia wake inajulikana kwa sera zake kali za ulinzi na kujihami, hasa kutokana na changamoto za kijiografia na kisiasa ambazo zimeikumba nchi hiyo tangu kuanzishwa kwake mwaka 1948. Nchi imejikita katika kuhakikisha usalama wa raia wake kwa kutumia mbinu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

    pichani ni mchezaji maarufu zaidi NBA Lebron James futi 6'8 / sentimita 208 Siku ya jana nilikuwa nimeenda kupasha mazoezi uwanjani kukimbia raund zangu, nilienda kupumzika kwenye court ya baketball nikawa nawasikia vijana wanapeana moyo wa kucheza nba, vimo vyao hakuna hata moja aliefika futi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania mnataka idadi ya vifo vya kutekwa ifike ngapi ndio muamke?

    Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau! Mnataka wafe wangapi? CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya katiba mpya andamaneni na hili polisi itoe hao watu inawashikilia. Pia soma: Ally Mohamed Kibao...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
  17. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wana tatizo la uelewa na ufahamu (upeo mdogo). Hii inawapa mwanya wajanja kuwatapeli kirahisi

    WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania waliowengi. Yàani katika Jambo rahisi Kabisa unaloweza ukalifanya kwèñye nchi ya Tanzania basi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahimizwa kutumia Tume ya Mahakama ili kuthibiti maadili kwa wanasheria

    Mh Jaji Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Makakama wamewahimiza Watanzania kutumia Tume ya Mahakama wanapotendewa vibaya na watendaji wa mahakama na wanasheria kwa ujumla. Hii nimeipenda maana kumekuwa na malalamiko ya kesi kutoamuliwa vyema na mahakama kuwa labda kuna rushwa au upendeleo, haya mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…