watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

    Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano. Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipomkosoa baba wa Taifa na muungano alisakamwa sana. Hayati Magufuli mbona hana watetezi kama wengine?

    Kiuhalisia matukio tunayo yaona ya kutekana ,kuteswa , kupotea yalikuwepo tangu awamu ya kwanza , Tofauti kubwa ni kukua kwa mitandao. Ingawa mengi yameanza kuonekana miaka ya 2010 sababu ya kukua medias . Zamani watu waliokuwa wakihusiswa ni wale maarufu sababu ndio waliokuwa na uwezo wa...
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

    Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea. Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

    Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania waliopo Kampala ni wachache ukiwalinganisha na watu toka mataifa mengine jirani na Uganda?

    Nilifanya "karesearch" isiyo rasmi, nikabaini kuwa ingawa Watanzania nao pia wapo Kampala, lakini hawafikii idadi ya watu kutoka Kenya, Zambia, Zimbabwe, South Africa, na Namibia. Niliowaona wapo kwa uchache ni Wanigeria, Watanzania, Wamalawi, na Wasouth Sudan. Mataifa mengine, kama sikosei...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakesha Makanisani Wakibubujikwa Machozi Kumuombea Heri Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anapendwa sijapata kuona, anakubalika kama Nabii.kiukweli Mama anaheshimika kwa watanzania haijapata kutokea. Nimeshuhudia Waumini katika makanisa mbalimbali wakiwa wamepiga magoti huku wakibubujikwa na machozi kumuombea heri Rais Samia utafikiri mabomu ya...
  7. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Habari Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi. Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya. Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la watanzania na wafrika wote kwa ujumla ni kuabudu watu badala ya principles na integrity.

    ukiangaria siasa za Tanzania na afrika kwa ujumla kama ni mtu unaye fikiri vizuri utaona kunashida kubwa katika nchi zote za Africa. Shida kubwa sio tu kwa viogozi wa Africa tu bali hata raia wa Africa wote walisha kuwa watu wa kuabudu watu badala ya kuwalazimisha kufuwata...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

    Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM. Kama ni mgonjwa naweza...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

    Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania TBC: Sauti ya Watanzania, sio sauti ya Serikali

    Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) inapaswa kuwa sauti ya mwananchi, chombo huru na tegemeo la jamii katika kutoa taarifa sahihi, za kina na zenye kuwajibisha. Katika enzi ya habari zinazoenezwa kwa kasi kubwa, TBC inapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuripoti matukio muhimu yanayoikumba...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna

    Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa kidogo. Sio ajabu hata wakisikia John Mnyika, au Halina Mdee licha ya kuwa ni Wapare hao ila Watanzania...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni kushabikia siasa kama mnavyoshabikia mpira wa miguu

    Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu. Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania. Hii ina madhara makubwa sana kwa uhai wa Taifa letu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni 'low minded'?

    Heri ya sikukuu ya mwaka mpya, Wanajukwaa hili. Penye ukweli uongo hujitenga. Hili naomba lieleweke vema. Miongoni mwa low minded people in Africa ni jamii za Watanzania. Mpaka kufikia umri huu, nakubaliana na 'phrase' hiyo hapo juu kwa sababu nilizoona kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

    #Repost @mwananchi_official —— Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Lisu ueleze UMMA wa watanzania Abdul Samia alitaka kukuhonga ili ufanye nini?

    Jana clubhouse umerudia kuwa Abdul alitaka kukuhonga. SWALI KUBWA: ALITAKA KUKUHONGA ILI UFANYE NINI? Wenje amesema alimpeleka kwako ili akusaidie kupata fedha zako. Je ni kweli ulituma covering letter kwa email ya Abdul? What does that mean? it means ulikuwa na mahusiano mema na Abdul...
Back
Top Bottom