watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori Kimara itufungue macho Watanzania

    Niliwahi kuandika hapa JamiiForums juu hatari ya biashara kandokando ya barabara kuwa kuna siku gari likosa mwelekeo leo limetokea. Tunaposema wananchi wa kawaida huwa ni kama vile kelele. Lakini hili viongozi waamke, angalau makala alijitahidi lakini sana ukiwa Kariakoo, Mabibo Sokoni, Mbezi...
  2. JamiiForums Tanzania Huruma ya Watanzania kwa viongozi wao sasa hivi ni 0%

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota, pamoja na Mnec, Mwita Gachuma, wamejeruhiwa baada ya Gari waliyokuwa wamepanda wakielekea Kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, Eneo la Gesarya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, kuacha njia na kupinduka. Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanavunja katiba yao, watashindwaje kuvunja katiba ya Nchi?

    Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi? Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata Katiba ya chama chao. Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano bora kwa vyama vingine, lakini wao wameonesha...
  4. JamiiForums Tanzania Huu Mkutano wa SADC Samia alitoa maoni gani tufahamishwe watanzania

    Natamani sana kusikia ambacho alizungumza samia katika huu mkutano wa Sadc. Tusikie nasi rais wetu alitoa mchango gani au alishauri nini. Haya mambo ndo unatamani angekuwepo Nyerere au Mkapa. Hawa wangeweza kuzungumza kwa kujiamini sana bila kumung'unya mung'unya maneno na kwa strong faces...
  5. JamiiForums Tanzania Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu umekaa katika taasisi kubwa ya kimataifa leo unaulizia biashara ya duka la mangi, Watanzania hebu kuweni makini

    Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100. Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda kujichanganya na watu SAD.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  8. JamiiForums Tanzania Wasira: Wengine ni vibaraka wakubwa, waache uhuni na nchi yetu, sisi tunaongoza dola kwa idhini ya watanzania

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuna watu nje ya Tanzania wenye vibaraka ndani ya Tanzania ambao wamekuwa wakieleza kuwa CCM imekaa sana madarakani, ambapo amedai kuwa kauli zao hizo ni propaganda huku akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuongoza...
  9. JamiiForums Tanzania Wapo Watanzania wapambanaji lakini hawajafanikiwa kwasababu ya kurogwa na ndugu au majirani zao

    Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana. Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China wamuunga mkono Rais Samia kugombea tena 2025

    Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 Alawi ameeleza kutoa tamko...
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  14. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  17. JamiiForums Tanzania Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

    Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
  18. JamiiForums Tanzania Lini Watanzania tutaamka na kusema IMETOSHA?

    Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo. Ukiuliza...
  19. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tunataka kura zetu zihesabiwe wazi wazi

    Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi. Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane. Hili...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…