watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania zaidi ya 5500 live mtandaoni mda huu kufuatilia chama makini Tanzania (CHADEMA)

    Habarini za mchana wana jamvi.... CDM inaonekana kukonga mioyo ya watanzania wengi ambao wamechoka na ufedhuri na dhuruma ya CCM. Hii ni dalili njema kwamba kumekaribia kupambazuka, tuendelee kumwomba sana Mungu wetu wa haki. Simba wa nyika Tundu Lissu na Heche kila waungurumapo CCM inapagawa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

    Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
  3. JamiiForums Tanzania Chadema waacheni Watanzania wataamka wenyewe kujipambania

    Huwa nawaonea huruma kuwapigania Watanzania wapumbavu hii ni sadaka kubwa wanajitoa chadema Nina uhakika mtoto wa Lissu haki chini Mke wa Lema hakosi matibabi ya kujifungua Heche hakosi maji ya kunywa Wananchi wana matatizo makubwa wanaowapigania wanawaona kama wajinga Shule hakuna madawati...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Je, hii ni ishara ya mabadiliko makubwa kwenye mindset za waTanzania?

    Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na MichezoπŸ‘‡πŸ‘‡ Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa. Wengi waliotoa maoni wanaonesha...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

    Salaam, Shalom! Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini? Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA β€” HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  8. JamiiForums Tanzania Ulaghai wa kidini na kisiasa unavyoyumbisha watanzania

    Myself nachoshwa na hizi ngenga za kidini, yaani nachukizwa na kitu chochote kinachotengeneza matabaka. Leo hii ukichunguza Kwa umakini unagundua hizi dini zinachangia pakubwa kuleta utengano kwenye jamii kuliko kuunganisha. Watu wengi tunachekeana usoni tu lakini nafsi zetu zinajipendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania nani katuroga?

    watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao. Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo...
  10. JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  11. JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga. Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii...
  13. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  14. JamiiForums Tanzania Raia masikini Watanzania ni sehemu ya wanaochochea wizi wa mali za umma na ufisadi kwa mitazamo yao.

    Raia wengi Watanzania huwa wanashangaa na kukejeli mtu (mtumishi wa umma, mfanyabiashara au mtu maarufu tu) aliyefariki mjini au aliyefiwa pale ambapo wanaenda kuzika na kukuta nyumba au mazingira duni msibani. Ni upumbavu kufikiri ni jambo rahisi sana kwa Watanzania wengi hasa waajiriwa kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lema Watanzania sio Wajinga

    Kuna huyu Lema ambae amekuwa na tabia ya ovyo haswa pale ambapo anaona hapati sapoti aliyokuwa anataka apate. Ni ukweli ulio wazi kuwa anayo elimu ndogo sana baada ya kushindwa kujiendeleza kielimu pale alipofeli kidato cha nne b,hata hivyo kwa elimu yake hiyo ndogo hastahili kuwa na ujinga wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Umaskini wetu sisi Watanzania ni wakujitakatia kabisa?

    Mpaka siku umati wa wananchi utakapoamka usiku wa manane ukakusanyika pamoja sehemu moja kudai mabadiliko ya Nchi. Kupata katiba mpya itakayokuwa na haki ya kupata tume huru ya uchaguzi. Kama madai waliofanya wamasai wa Ngorongoro CCM ikajua sasa kumekucha
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania amkeni, msikilizeni vizuri Mzee Warioba na siyo Wasira. Mwl. Nyerere na Mzee Mkapa ndo watunga sera za nchi hii

    1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's. 2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko huria lenye uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi na serikali ibaki kuwa regulator na kukusanya mapato...
  18. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Watanzania kataeni kuyumbishwa na wasiotakia mema nchi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe. Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaposema CCM ni mchwa watanzania muelewe, hawana huruma

    Wasalaam. Sikiliza kwa makini. Moja ya kauli alizowahi kuoangea Polepole wakati akiwa katibu mwenezi wa CCM
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wasifurahie yanayowakuta CHADEMA kwani looser sio CHADEMA looser ni watanzania na taifa kwa ujumla na wanufaika pekee ni CCM

    Watanzania wanaofurahia madhila ya CHADEMA hawajui kwamba anayepoteza sio CHADEMA Wala Lissu ni watanzania kwani tunapokosa mtetezi mwenye nguvu kama CHADEMA basi ccm wanapata nafasi ya kufanya watakalo Tena mabaya kwasababu hakuna mtetezi. Hakuna mtetezi kwasababu; 1. Bunge wamelitia mfukoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…