watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  2. JamiiForums Tanzania Enyi Watanzania Mna uhakika Mwaka Huu 2025 Kuna Uchaguzi?

    GT Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana. Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo. Hapa ndo naikumbuka kauli ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jemedari Aliyejitoa na kujitolea Utumishi wake Kwa Watanzania Bila Kujibakisha.

    Ndugu zangu Watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mama huyu anayefanya kazi ya kitume , kazi ya Sadaka ,kazi ya kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kubadilisha maisha ya watanzania na kuleta matumaini kwa watu. Huyu Mama yetu Mpendwa amejitoa na kujitolea Maisha yake...
  4. JamiiForums Tanzania Mifano halisi jinsi ambavyo Simba na Yanga zimeharibu akili za Watanzania wengi.

    Moja kwa moja. Hii ni mifano michache ila Kuna aina mbalimbali za uchizi kuhusiana na mambo ya Simba na Yanga . #UziTayari
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

    Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

    “Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
  7. JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania Chadema ni wajanja ,wameshajipanga tena kutuacha kwenye mataa

    MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanahisi laana zao zimefanya kazi wanapoona mkandamizaji kapatwa na maradhi ama kafa

    "Malipo ni hapahapa duniani" Nawaombea mabaya yawakute" Hizo ni laana zinazotoka unapomlaani mkandamizaji iwe ni Mwanasiasa alietumia madaraka vibaya kukuumiza, Kigogo aliekupora shamba, Bosi aliyekunyanyasa kazini, Mwanasheria aliyekusaliti kwa kupokea rushwa, Polisi mliezinguana akakubambikia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Watanzania.

    Ndugu zangu Watanzania, siyo kwamba Tundu Lissu, John Heche, John Mnyika, TEC, Sheikh Ponda, Ask. Mwamakula, Ask. Mwanamapinduzi, Ask. Mwamalanga, Ask. Bagonza, Ask. Shoo na wengineo wengi walio mstari wa mbele katika mapambano ya kupigania HAKI wana dhiki sana, hapana. Wangeweza kubaki na...
  12. JamiiForums Tanzania WaTanzania ni watu waoga na waporojo sana

    …naona wote mpo busy na msiba wa Papa, lakini hamjui kinachoendelea Tunisia 🇹🇳… Tunisia 🇹🇳 kuna Rais mwendawazimu anayeitwa Kaïs Saïd, Dikteta zaidi ya Kambare… Huyu jamaa anamiliki serikali, Bunge na Mahakama zote nchini humo… Juzi, kawahukumu viongozi wa upinzani, mawakili wao...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania maskini mnapaswa kufunga na kuomba kuiombea nchi yenu

    Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya. Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi...
  14. JamiiForums Tanzania Tuelimishane, Mipaka yetu ya kutoa maoni ni ipi ndugu watanzania ?

    Happy Muungano Day! Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini. Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

    Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni...
  16. JamiiForums Tanzania Naona RC Chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa?

    Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini. Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
  17. JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua kutumia njia za amani kudai haki zao, lakini watawala wanatumia Maguvu kuharibu Amani

    Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini. Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki sana kutwa nzima kulia lia kwenye mitandao, ikija kutake action ni negative zero

    Watanzania ni Machampion wa Dunia linapo kuja swala la kulia lia kwenye mitandao, Wajinga sisi tunazania kutype daily kuna mtishia nyau? Hakuna anaye kosa usingizi kisi kuna watu wanakesha waki type kwenye mitandao. Ipo siku hawa wanao tupigania watachoka na hapo ndio CCM itashikisha watu ukuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…