watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania 42 waliokwama Israel kisa vita kurejea nchini leo

    Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo June 25, 2025, kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia Serikali ya Tanzania imesema Watanzania hao watawasili nchini katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza limewasili...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
  3. JamiiForums Tanzania Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

    Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana. Leo hii tena CCM nchi nzima...
  5. JamiiForums Tanzania Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

    Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
  6. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA hawakuwahi na Hawana mbinu yoyote ya Kukabiliana na Taifa la Vijana wenye Elimu !! Mtaji wao ulikuwa ni Ujinga wa watanzania

    Wee hushangai kwann mpaka Leo Wakisimama gia yao ni Amani, CHADEMA wanataka kuleta Vita, wanataka kuleta Ushoga?, Unamsikia Wasira anasema Vijana hamjui Nchi ilikotoka, Mkoloni anatupa uhuru Nchi ilikua na Daktari Mmoja. Unaweza jiuliza, haya yanaongelewa na MTU Mzee mwenye miaka 88?? Yaan...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa kwa watanzania inatubidi tukifikirie na tukichukulie hatua

    Inatokea watanzania tumeamua kwa pamoja kuwa wafugaji na katika ufugaji huo tukaamua kwa umoja wetu tufuge wanyama wawili tu, NGAMIA na NGURUWE. Na kwakuwa kuna uhaba wa malisho tukaona ni vyema wanyama hawa tukawalisha kwa msimu mmoja mmoja ili kuleta usawa baina ya wanyama hawa na kupata faida...
  8. JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini suala la mipango linatushinda watanzania?

    KWANINI SUALA LA MIPANGO LINATUSHINDA WATANZANIA? Mipango ni msingi wa maendeleo ya mtu binafsi, jamii, na taifa kwa ujumla. Bila mipango madhubuti, hakuna maendeleo ya kweli yanayoweza kufikiwa – iwe ni katika kilimo, elimu, afya, miundombinu au uchumi kwa ujumla. Lakini kwa miaka mingi sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  11. JamiiForums Tanzania Haihitaji Degree kutambua anachofanyiwa Lissu ni kutokana na 'No reforms, No election' Watanzania wangekuwa na akili wangekuwa barabarani muda huu

    Tunaposema Tanzania ni taifa mfu, au Taifa lenye wajinga wengi mno ambao CCM inatumia kama mtaji nadhani sote tunajionea na kushuhudia. Watu kadha wa kadha wametekwa, wamepotea, hakuna aliyewajibika. Si Polisi ambao walionekana mchana kweupe wakimbeba marehemu kwenye basi lenye abiria wala si...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waliopo Israel na Iran kurejeshwa nchini

    HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN DODOMA, 19 JUNI 2025 Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la Israel na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza tarehe 13 Juni 2025, hali ya usalama katika mataifa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Rais Samia hadaiwi na watanzania anataka kurudi tena kwenye kiti Kufanya nini?.

    GT Mimi kama mwanajimbo la kisesa nikiongozwa na Mpina nakubali kwamba Samia tunamdai ana mambo mengi sana hajakamillisha na tuna wasiwasi na uwezo wake kama atayatimiza. Hawa wanaosema.hawamdai halafu October arudi tena. Nawaona kama wana mtindio wa ubongo kabisa. Mtu aliyemliza yote arudi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

    Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Nne la utekelezaji wa ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini laanza Mwanza

    Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeanza rasmi leo Juni 16, 2025 jijini Mwanza ambalo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na Wizara ya Madini na Taasisi zake, Taasisi za Serikali, Taasisi Binafsi, Taasisi za Fedha, Kampuni za...
  17. JamiiForums Tanzania Nikimsikia Samia akizungumzia uchumi. Natabasamu nawapongeza watanzania sana

    Faida anayoiona ya kahawa ni kufanyia scrubbing. Siku hiyo hiki ndo kipengele aliweza kukielezea vizuri zaidi na kwa muda mrefu. 🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭 Nyie Watanzania mkiendelea na akili hizi hamtaendelea kamwe.
  18. JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza DG wa MOFAT, ni Mtanzania, msomi na ameeleza uzuri kuhusu mradi na kampuni yake Watanzania tumuunge mkono ataendesha mradi kisasa

    https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti, jijini Dar-es-Salaam. Akihojiwa na TV ya Millard Ayo Mohamed amejieleza uzuri sana na kuuelezea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

    Habari zenu Wana JF. Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field. Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES. Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Wasaidizi wa Rais: Tujenge Lugha ya Matumaini kwa Watanzania

    GTs Walioko karibu na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tafadhali mfikishieni ujumbe huu kwa unyenyekevu na mapenzi mema: Hotuba yake ya leo kuhusu Mpina pamoja na zingine zenye mwelekeo wa malalamiko zinamharibu zaidi kuliko zinavyomjenga. Mwambieni kuwa yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…