watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Asante Samia kwa kukuza Chadema na kufanya kiwe chama cha Watanzania wote

    Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania hatujalogwa sisi ni wajinga

    Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga.. Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni kama kila siku tunazidi kurudi nyuma hatujui tunapoelekea Vijana wanakesha mtandaoni hawana cha maana...
  4. JamiiForums Tanzania Selasini, Bwege aliyejipotezea Heshima ndogo alokua kaanza kuirejesha kwa Watanzania, Vipande vya Fedha vimemuondoa katika Siasa Once and For all!!

    Arudi CCM ni kujifia!! Arudi CHADEMA hatipokelewa Tena. Kwa umri wa SELASINI, Jamaa bado alikua na miaka ya kutosha kufanya Siasa. Njaaaa za kipumbavu
  5. JamiiForums Tanzania Je, kesi za ugaidi ziawafanya Watanzania kupinga uovu?

    Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa. Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima. Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa naye atupia lake neno kuhusu kauli ya Dr. Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane wapate Katiba Mpya

    https://www.youtube.com/watch?v=_BjgSiVTCP0
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa. Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna biashara, bali "TUMEJIAJIRI". Biashara ya kweli huendelea hata mmiliki asipokuwepo.

    Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri). Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania mnasahau haraka sana. Hebu tuangalie maneno ya Kitila Mkumbo, miaka michache tu nyuma

  12. JamiiForums Tanzania Kwa Ufupi NCHIMBI ,anawaambia Watanzania ,Komaeni tu hapohapo shikilieni, ACHANENI NA MARIDHIANO, NYIE KOMAENI TU

    CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" . Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita . Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania Afrika Kusini waanza kurejea nyumbani

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umeratibu zoezi la kurejeshwa nyumbani kwa raia wa Tanzania waliokuwa nchini humo, kwa kushirikiana na mamlaka za Afrika Kusini kuhakikisha taratibu zote za safari zinakamilika kwa mujibu wa sheria. Akisimamia zoezi hilo Julai 24, 2026, Balozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Alichomaanisha Dr. Nchimbi aliposema Watanzania tupambanie katiba mpya - ni kweli ni jambo la msingi sana na mpambano mkubwa unaokuja!

    Wengi wetu hatukumuelewa Dr. Nchimbi pale aliposema Watanzania tupambane ili kupata Katiba mpya, na hadi tukaanza kuuliza, tupambane dhidi ya nani basi, Samia? CCM? Polisi? Kuna watu hata walianza kusema mnaona, Dr. Nchimbi kaanza tena kwenda kinyume na Samia na CCM! Na ieleweke wazi mpambano...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli anachokisema kinatoka moyoni na anataka Watanzania wamuamini kua ni mkweli na wamuunge Mkono afate njia ya PolePole.

    Hili la kusema hivi then kesho kutwa tunawaona wote kwenye adhimisho flani hatuwez kukubali.. Hizi mbanga unaongea hivi then kesho unasema tena mpo pamoja na Mkulu hatuwez kumuanini 100% Tupo Zama za NYEUSI NYEUSI, NYEUPE NYEUPE. POLEPOLE alikuja kuungwa Mkono na kusamehewa makosa yake yote...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: "Hakuna Sheria Inayotengua Katiba, Watanzania Pambaneni Mpate Katiba Mpya!" | Rasimu Kamili Ipo www.katibampya.com

    Leo nimeona jambo muhimu sana kutoka kwa Makamu wa Rais wetu, Dkt. Emmanuel Nchimbi, aliyezungumza mbele ya umma tarehe Julai 23, 2026. Nimeamua kuandika thread hii ili kuwafahamisha wote kuhusu ujumbe wake na pia kuwaelekeza mahali pa kupata taarifa zaidi. Katika hotuba yake, Dkt. Nchimbi...
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jakaya Kikwete amesema ,usitegemee katiba mpya sasa hivi, watanzania tujikite katika kujenga nchi yetu"?

    Kumekuwepo na graphic inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alisema:"Usitegemee katiba mpya sasa hivi. Watanzania tunatakiwa tujikite katika kujenga nchi yetu." Katika ufuatiliaji uliofanywa kwa kutumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…