watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Watanzania wazawa hawaanzishi viwanda vikubwa vya uzalishaji kama Wahindi, Waarabu na Wazungu?

    Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
  2. Fursa: Wanahitajika madereva 800 watanzania nchini Qatar

    Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd, pamoja na Larali Global Solutions, inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma...
  3. Je, Waafrika (Watanzania) tumekurupukia mambo?

    Aje Je Waafrika tumekurupukia mambo au nasi tunapaswa Ukiangalia nchi za wenzetu masuala ya burudani kama vile muziki, mipira na mengineyo yalianza kuwa na nafasi kubwa kwao baada kupiga hatua kubwa za kimaendeleo ya kiuchumi, mapinduzi ya vilimo, mapinduzi ya viwanda Rejea club kubwa...
  4. Watanzania Tukatae Ujinga kwa Bei Yoyote – CCM Imekuwa Kocha wa Kushindwa Tangu 1977!

    Listen up my people, Watanzania wenzangu! It’s high time tujikumbushe kuwa hii nchi ni yetu sote, not just for a chosen greedy few. Tumekuwa tukichezewa kwa miaka kibao, na bado tunaambiwa tukubali, tuvumilie, tusubiri maendeleo – hell no! Enough is enough! Tupo kwenye nchi yenye ardhi ya...
  5. M

    Sakata ya Simba na Yanga ni mpango ili kuwapumbaza watanzania wasifatilie yanayoendelea kwenye siasa

    Mods msiufute huu uzi. Ukitulia na kutafakari Kwa utulivu hilo swala ya SIMBA na YANGA kusuguana kuhusu huu mchezo wa marudiano utagundua kuwa, 1. Ni mpango uliosukwa kwa makusudi ili kuwafanya WATANZANIA wawe bize kujali huu upuuzi na kujiweka mbali na siasa ambazo kimsingi ndio ukombozj wa...
  6. M

    Kwa kipawa changu asilia ninaweza kukata kiu ya muda mrefu ya Watanzania

    I have powers to the extent nikiingia kwenye machimbo yangu huko kwenye ulimwengu uliojificha basi nikija kutoka WATANZANIA watakatika na viu vyao vya muda mrefu (for my powers I can quench the unquenched thirsty of Tanzanians)
  7. Watanzania wamebarikiwa sana kwenye kusahau na kufatilia mambo ya msingi

    Kama ni memory, watanzania wana operate on CPU register. Wanashupalia jambo, kisha baada ya muda washasahau, wansubiri jengine. Tangu enzi za kuuwawa kwa Daudi mwagosi hadi kupotea kwa mdude, in between kuna mengi, but follow-up ni zero kabisa. In short kwa Tanzania tatizo ni lile linalompata...
  8. R

    Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  9. Kwa lengo la kuleta ushindani na mageuzi ya kiteknolojia natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii Tanzania

    Natangaza kuja na mtandao mpya wa kijamii nchini tanzania kwa lengo la kuchochea ukuaji wa kiteknolojia na kuleta ushindani dhidii ya Facebook, Instagram na Twitter pamoja na tiktok. Mitandao hii imekuwa ndio mitandao namba moja duniani kote ikiwemo Tanzania huku intagram, Facebook na Twitter...
  10. Watanzania tuna tatizo sio bure

    Sisi watanzania sijui nani alituloga. Watanzania tuna mibichwa mizito hadi kero. Mtanzania hawezi akaambiwa kitu mara moja akaelewa. Na hata ukirudia mara tano ataitikia alafu baadae atauliza swali ambalo ulishamuelezea. Yani tupo kama mikondoo sijui tupoje. Hata tunaowaita wasomi nao ndo ivyo...
  11. M

    Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  12. Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  13. Watanzania msiogope vitisho vya hawa wasiokuwa na akili wanao wateka watu ili wasizoee tunauwezo wote wa kuwakabili na kutoa funzo

    Naona kwa anae kosoa serikali sasa hivi anapigiwa simu za vitisho, hii hali sasa imeanza kuota mapembe kwenye utawala wa samia sikuwai kusikia kitu kama hiki hapo awali. Ninachotaka kusema kwamba watanzania tunapaswa tuipinge kwa nguvu zote isizoeleke tunazo nguvu zote kuikomesha tabia hii...
  14. Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa

    Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
  15. Utafiti: Kati ya watanzania 10 tegemezi 7 ni wanawake

    Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake katika uchumi. Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua...
  16. Ukiona jinsi panya road 40 wanavofunga mtaa wenye wakazi 12000 utajua sisi watanzania ni watu wa aina gani

    Yani unyumbu wetu unatufanya tuone au tudharau Hadi wale ambao wanajitoa kupambania haki zao Kwa namna yoyote Ile, ujinga wetu unatufanya tuone Kila anaepigana ni mjinga bila kujali anapigania Nn, Yan ama kweli sisi ni walking dead, uthibitisho wa haya angalia walichokua wanafanya panya road...
  17. Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  18. Wajue watanzania!

    Habari wasee. Leo nimejaribu kufuatilia kwa undani kuhusu watanzania kwa upande wa online contents, ingawa nilishafanya extensive research mwaka 2019, nikagundua watanzania wanapenda vitu vya kijinga na kiki ambazo zimetufanya tuwe hapa tulipo . Ukiingia TikTok ndio msiba mkubwa kwakweli ...
  19. Utalii wa Ndani ni Mali Yetu – Jitokeze Kujionea Uhalisia wa Tanzania Yetu!

    Utalii si wa wageni pekee. Ni wakati sasa wa sisi Watanzania kuamka, kujua, na kuthamini uzuri wa nchi yetu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kila hali – milima, maziwa, hifadhi, visiwa, maporomoko, mapango, historia, na tamaduni zenye utajiri mkubwa. Lakini kwa masikitiko, wengi wetu...
  20. Waziri Mbarawa awasihi waTanzania kulinda miundombinu ya SGR

    Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR). Prof. Mbarawa, ametoa wito huo katika stesheni ya Magufuli Dar es Salaaam, muda mchache baada ya kumsindikiza Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…