watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
  2. O

    Watanzania tuna tatizo la unafiki ndani yetu

    Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?
  3. Kwa nini watanzania hawapendelei Malipo kwa njia ya mtandao?

    GT Jambo moja ambalo huwa linanishangaza kwa watanzania ni kupenda kutumia cash katika manunuzi mbalimbali ya vitu. Faida za online transactions ni kama hizi hapa. 1. Kurahisa ukusanyaji waa kodi Kwa njia ya cash ni mtihani mzito maanake mpaka mfanya biashara awe mwamimifu kwa TRA.Lakkni pia...
  4. L

    GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM, asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndiyo chama kilichobeba matumaini yenu, mstakabali wa maisha yenu, kesho ya watoto wenu, maisha ya wajukuu zenu, na uhai wa Taifa letu. Kwa...
  5. Maria Sarungi na mange Kimambi nyie watanzania wajinga mmekubali ni wanaharakati kweli??

    Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe. Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki. Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
  6. Askofu Kyando: Watanzania wameanza kusahau utu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebius Kyando, ametoa wito kwa Watanzania kurejea katika msingi wa kuthamini utu wa binadamu kama nguzo muhimu ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Akizungumza kwenye mahafali ya 25 ya Taasisi ya Mafunzo ya Afya Lugarawa (LUHET) yaliyofanyika...
  7. R

    Watanzania wameuona Mwanga wamechoka sasa, FANYENI REFORM WEKENI MPIRA KATI TUCHEZE asema Mwanamama

    Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
  8. M

    GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  9. Tunakoelekea itafikia hatua ya Watanzania watembea kwa miguu barabara ya lami kulipa kodi ili tulipe deni la taifa

    Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha matangazo katika mitandao ya kijamii kama Instagram wanawapa siku 30 ili kuweza kujisajili na...
  10. Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

    GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi. Hivi vilio na...
  11. David Kafulila: Watanzania tupunguze Kasi ya kuzaliana. Jambo hili kiuchumi lina matokeo hasi - Dira2050

    UTANGULIZI, Akizungumza katika kipindi maarufu cha runinga cha "Mizania ya Wiki" kinachorushwa na Kituo cha Televisheni kutoka Azam Media (UTV) Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila alikuwa na haya ya kusema, Kwanza, Kafulila anaonesha upo uwezekano...
  12. Huenda Mama Samia anawahitaji sana Watanzania wakati huu kuliko Wanavyomhitaji

    Nimeamua kuvaa viatu vya mama Samia. Suppose aliyoyaandika huyu jamaa ni ya kweli. Unafikiri Mama Samia atafanya nini kwa Watanzania hawa ambao Mbowe alifilisiwa wakawa kimya, Lissu alipigwa risasi wakawa kimya, Mbowe akapewa kesi ya ugaidi kimya, Lissu kesi ya uhaini kimya, CEO nae kaondoka...
  13. L

    Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi...
  14. M

    Unafiki wa baadhi ya watanzania

    Watanzania tumekuwa na kaunafiki fulani na km tusipojirekebisha itatugharimu sana Kipindi cha kikwete kwa sisi ambao tulishakuwa na ufaham wa kufuatilia mambo ya siasa, Watz walikuwa wanalalamika na kusema kuwa nibora utawala(awamu) iliyopita wakimaanisha awamu ya rais mkapa, lakin hali hiyo...
  15. Ukiwa haujui utaratibu wa watanzania ndo unaweza kushangaa ambacho kinaendelea sasa hivi katika siasa zetu

    Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote" Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea. Faida zake ni chanya na hasi .
  16. J

    Watanzania hawaeleweki, wanadai hawamtaki Rais, akiondoka wanatamani arudi

    Watanzania sasa hivi wamechachamaa hawamtaki Samia, kelele kibao mtandaoni Lakini ukitazama kwa umakini, Watanzania hii imekuwa ndio tabia yao, wanasema hawamtaki kiongozi ila akindoka wanatamani arudi Tuliona Kikwete walikuwa wanapiga sana kelele hawamtaki, ila alipoondoka na kuja Magufuli...
  17. Watanzania wamechoka, usisubiri mambo yaharibike sana

    Kwenye page ya Instagram ya miss world Baada tu ya kupost picha ya pamoja akiwa na Rais Samia huko visiwani na hizi ni baadhi tu ya comment alizoshushiwa mlimbwende huyo. Nadhani akitafuta tafsiri sahihi ya comments hizo atajilaumu sana kuja Tz. My Take; Uongozi ni kukubalika Kwa wale...
  18. Tofauti ya wakenya na Watanzania

    Ni kiasi cha uelewa wa jambo, umuhimu wake,sikio la kusikiliza na mwisho kabisa kuchakata jambo lenyewe.
  19. Nasikitika kuona Mr Kuku akienda kuwatapeli baadhi ya watanzania wenzetu kwa mara nyingine.

    Baada ya kuwatapeli watu zaidi ya mara tatu kupitia mradi wa kuku, Kijana Tariq kaja kivingine kupitia mradi anaoita mbuzi pesa. Utaratibu wake ni uleule wa kuchangisha watu pesa. Ikumbukwe mara baada kuachiwa kupitia plea bargain mara baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuchezesha upatu, Mr Kuku...
  20. M

    Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…