watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Yaitishwe maandamano makubwa kupinga wizi wa rasilimali za Watanzania kupitia makaa ya mawe

    Iweje familia za wanaCCM wachache tu zinufaike na rasilimali za nchi hii kupitia makaa ya mawe? Huko Urusi na dunia nzima haya yasingewezekana Watanzania tuache tofauti zetu. Maandamano yaitishwe ili hao wanadhania hii nchi ni mali yao watupishe.
  2. R

    CCM fanyeni yote, lakini mtakosa POLITICAL LEGITIMACY mbele ya watanzania na duni nzima kama hamkufanya necessary reforms as proposed by Chadema

    Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force. High legitimacy means citizens voluntarily obey laws and support the government's actions because they...
  3. Naomba kujua hizi Dola 45 na Dola 90 ambazo Watanzania wanatakiwa Kulipa JNIA ni za nini na kwanini?

    Tafadhali mwenye kujua kwa Undani kabisa jambo hili si vibaya tu akatupa Ufafanuzi wa Kiuchambuzi ili Wabongo tujue.
  4. C

    Watanzania hatuna tena uzalendo

    Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli. Watanzania hatuna uzalendo kabisa. Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana. Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo .Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa. Jambo hili ni...
  5. Kama CCM ni chama cha watu wajinga, imetokeaje watutawale zaidi ya miaka 60?

    Utawasikia CHADEMA wanakuambia ccm ni chama cha WATU wajinga Ila inawezekana vipi wajinga waitawale nchi hii miaka 60?
  6. Kuwatetea watanzania lazima uwe na shida ya akili kwanza yaani uwe chizi.

    Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui. @Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
  7. SI KWELI PreGE2025 Mwabukusi: Watanzania wana wajibu wa kidemokrasia wa kushiriki uchaguzi

    Naombeni kujua hii una ukweli wowote?
  8. Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  9. Rostam Aziz ana wajibu kwa Watanzania kuzijibu hoja za Polepole

    Sisi waswahili husema, baniani mbaya, kiatu chake dawa. Hata kama hukubaliani na uanachama wa Polepole CCM, haya anayoyasema kukuhusu yana athari za moja kwa moja kwa CCM. Watanzania tunahitaji kujua maelezo yako kwenye hili. Itakumbukwa marehemu mzee Reginald Mengi, alikutaja ww kuwa fisadi...
  10. Halafu tukisema Wakenya akina Tresor Mandala hamna Akili mnatuona Watanzania kama vile tuna Chuki nanyi

    liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...
  11. Nishati safi kwa watanzania

    Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan. #Tunmjua.
  12. Nini hatima ya watanzania, Inatosha sasa! Yaliyosemwa na Dkt. Slaa na Polepole yanaumiza

    Ndugu zangu Watanzania ama watanganyika,naona vibaya hata kuandika hii barua kutokana na mambo yanavyoendelea kutoka kwa wadau mbali mbali na pia naweza kuwaita wazalendo waliojitolea kututoa matongotongo machoni,na kutuzibua masikio. Sasa naweza kusema inatosha kwa sasa viongozi hawana nia...
  13. GE2025 Polepole: Watanzania msikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka madai ya msingi yafanyiwe kazi

    "Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
  14. Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  15. M

    Watanzania waleo hwafuatilii taarifa za habari kwenye tv au redio au kununua na kusoma magazeti. Unajua sababu;?

    Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala. Vyote vimekuwa kama vipaza sauti au wasemaji wa serikali. Hata habari na vichwa vya habari kwenye...
  16. H

    Nini kifanyike ili Watanzania waendelee kuwa wamoja na kuijenga nchi bila manung’uniko:

    --- 1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa kuondoa manung’uniko na kuimarisha mshikamano. 2. Kuweka Msingi wa Usawa Katika Fursa Fursa za...
  17. Lissu , anaamini anaweza kuwapigania watu wajinga kama watanzania Keybord worriors !Ahh is waste of time and energy.

    Is waste of time and energy kusema umpambanie Mtanzania . Familia yake hawakuwa wajinga kumshauri aachane na huo ujinga unaitwa siasa.
  18. Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  19. Kuna watu mnakera hasa watanzania kwenye suala la mawasiliano

    Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ? Yaani watu hamuwezi kungumza bila sauti zenu kuhusika, ? Watanzania tujifunze kuheshimu haiba za kila mtu mimi binafsi napenda...
  20. CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…