watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Imedhihilika wazi CHADEMA baada kuwa chini ya Lissu na Heche imejijenga mioyoni mwa Watanzania

    Ni kuwa Watanzania wana imani na CHADEMA ya sasa hivi kuliko kipindi Cha Mbowe. Fikikiria huu uonevu unaofanyika kwa kufungwa jela mwenyekiti wao. Kufungiwa ofisi. Na kukamatwa na polisi kama wana kamata kuku wakati wafuasi wa Chadema sio waharifu. Leo Tanzania nzima watu wanasheherekea miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo letu watanzania siyo rangi ya mtu, bali uduni wa fikra

    Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania. Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni...
  3. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi katika siku ya kuzaliwa ya CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia

    BARUA YA WAZI KATIKA SIKU YA KUZALIWA YA CHADEMA. Kwa Viongozi, Wanachama, Wafuasi wa CHADEMA, na Watanzania wote wanaojali demokrasia, Leo, tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ninatumia fursa hii kutoa pongezi za dhati kwa chama kwa...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: Watanzania mkataeni Mzee Butiku kwa nguvu zote, anatumika na ni nyoka, huwa anakutana na Samia Ikulu mara kwa mara

    Mwanaharakati Mange Kimambi amesema kuwa watanzania wanatakiwa kumpuuza mzee Butiku kwa kuwa anatumika na serikali ya Samia.
  5. JamiiForums Tanzania Samia anataka kuridhiana na nani wakati waliovuruga nchi walikuwa si watanzania?

    Katika hukaha, kutapatapa na kuhanyahanya, Samia aliunda timu, siyo tume ya maridhiano. Kwanza, anaridhiana na nani? Pili, pesa ya kuendesha zoezi hili inatoka kwenye bajeti gani? Tatu, ni kiasi gani? Nne, ina faida gani? Tano, je, walengwa nni nani? Sita, kupata wajumbe, ametumia vigezo gani na...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna neno CCM Mtasema kwa sasa Watanzania Tukawaelewa

    GT maCCM mnapoteza mda kujinadi kwa.maneno ya kwenye kanga watz wana hasira sana na ninyi. Hakuna neno mtakalosema mkaeleweka matendo yenu ndiyo yatakayoamua hatima yenu. Tuna.hasira sana hii M029 imetuachia majonzi makubwa hayatasahaurika kamwe mioyoni mwetu na hatutawasemehe kamwe.
  7. JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania: Achananeni ya kebehi na kiburi cha CCM na Kihongosi wao. Nguvu zetu tuwekeze ICC. Siku si nyingi wataanza kutoa milio

    Wito kwa Watanzania. Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana. Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo...
  8. JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  11. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya mende... Nahau inayotufaa watanzania

    Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa na wanasiasa walioko madarakani. Lakini miongoni mwa nahau ambazo hutumiwa na watawala dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaongea na Samia mwambieni Watanzania wanajua yote

    Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua; Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya Wanajua kua...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni Ignorant

    Kabla ya kuanza tuangalie nini maana ya Ignorant ni mtu anayekosa ujuzi, taarifa, uelewa au ufahamu kuhusu jambo fulani — hasa pale ambapo jambo hilo linatarajiwa kwa kawaida liwe linafhamika au mtu awe na maarifa juu ya mambo hayo. Ignorant kwa Kiswahili tunaweza kusema Mtu asiye na maarifa...
  14. JamiiForums Tanzania Wizi wa TANESCO kwa Watanzania

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizi mita mpya ni unyonyaji sana kwani umeme haukawii kuisha. CCM ni wanyonyaji sana kwa watanzania.Kwakweli inahitajika nguvu kubwa na mapambano kuwaondoa hawa wanyonyaji wa watanzania. Halafu hawarudishi units zilizokuwepo awali.
  15. JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi

    Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu. Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga kiasi gani ni kwanini tunakuwa mabichwa bungo hivi ? yote haya ni kwaajili ya kumfurahisha mtu mmoja...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
  18. JamiiForums Tanzania Kombo: Watanzania tunaomba michango kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani

    Jamani leteni hiyo michango ili tuwafundishe nini maana ya amani Tanzania! :cool: :cool: ========== Mwanaharakati Ahmed Kombo aomba mchango kwa watanzania kwaajili yakuzunguka nchi nzima kuongea na vijana kuhusu amani.
  19. JamiiForums Tanzania Tarime: Wananchi wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kudaiwa kuuawa

    Nyomi la watanzania wameonekana leo Tarime wakiwa wameandamana na jeneza wakiimba Samia muuaji baada ya mwenzao kuuawa. Aidha kumekuwepo na mwendelezo wa mauaji na utekaji nchini Tanzania wa kiholela ambao una mfungamano na kuungwa mkono na Serikali ya Samia.
  20. JamiiForums Tanzania Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

    "Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami. Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa. Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella Toa maoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…