There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Nimefuatilia yanayoendelea katika taifa letu kwa sasa naona kila siku zanavyosonga mbele matumaini yanazidi kupotea. Kimsingi kuna ombwe la uongozi katika taifa letu kwa sasa linaloonyesha kuwa viongozi wetu hawa wameshindwa ku-perfom na sasa wamebaki kuhangaika na Chadema.
Ukiona kiongozi...
Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
Mpaka sasa hivi wamedhibitiwa kwa maghasia waliokuwa wanaratibu kuyafanya kwa kisingizio cha kutaka kudai katiba mpya.
Madhari hiki ni Chama cha Umma na kwa kuwa kipo chini ya mwavuri wa msajiri wa vyama vya siasa. Basi wanapaswa kuomba radhi ili umma wa watanzania wawasamehe.
My take: Kuwa na...
Binafsi kwa upande wangu na wanaonizinguka wote hali mbaya zaidi kiuchumi! Hakuna biashara yani full mdororo ila ndiyo kwanza naona EWURA wanapandisha bei za mafuta na mitungi ya Gas nayo inapenda bei huku hali za kibiashara zikiendelea kudorola kabisa kabisa.
Unaweza sema Hayati aliharibu...
Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania
Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania kwamba kunakiukwa katiba ya nchi.
Mifano ya uvunjifu wa katiba ni suala la wabunge 19 wa Chadema ambao...
NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19
Na: Shujaa
Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Kwa muda mrefu watu tumekuwa tukizungumza namna mbalimbali za kukuza uchumi kuongeza ajira ili kila mmoja afaidike kwenye keki ya taifa. Nimeona si haba na mimi nikitoa mawazo yangu katika namna ambayo watu wengi watapata ajira.
DHANA YA MAENDELEO
Maendeleo ni uwezo wa mtu kuamrisha vitu, hii...
Habari wanaJF,
Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya.
Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?!
Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya:
1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Watanzania hawaishiwi hoja kwa kweli.
ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote?
Watanzania wamesahau kwamba hata ukienda hospitali una haki ya kukataa kutibiwa, una haki ya kukataa sawa, una haki ya...
kama sikosei hii kauli aliizungumza cyprian mulaga musiba, wakati ule taifa linapinga katakata uingizaji wa chanjo kwa amri kutoka juu,
watu wengi waliamini katika hili lakini kiuhalisia iyo ilikua ni elimu ya kijinga inayopanddikizwa kwa watanzania na matokeo yake ni haya tunayaona leo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.
Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
Duniani ni sehemu mzuri sana kuishi kama sisi wenyewe tutaifanya dunia kuwa salama kwa ajili ya maisha yetu wenyewe. Hata hivyo hatuwezi kuishi kiholela, isipokuwa inatulazimu wawepo baadhi yetu watakao simamia mambo yetu na kutuwakilisha katika baadhi ya mambo. Watu hao ni viongozi na watawala...