watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti

    Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti. Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
  2. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi sasa wamefunguka akili baada ya yale matukio. Nachoona sasa ni Mipango ya Mungu

    Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna mvuto wala heka heka. Hii ni ishara kuwa watanzania sasa wamekua na kukataa kutumika. Wamegundua kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

    Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election. Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
  5. JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  6. JamiiForums Tanzania Ujinga: Silaha ya CCM kuwatawala watanzania

    Mtu mjinga siku zote ni mtaji wa mtu mwerevu. Na siku zote watu laghai na waovu huzuia watu wajinga wasierevushwe maana huo ndiyo utakuwa msiba wao. CCM tangu baada uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa ikitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuendelea kubaki madarakani. Hebu ona mjinga anavyomlaumu...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania msifanywe Chuma ulete na hawa Wasanii au watu wenu Maarufu

    Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika. Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
  8. JamiiForums Tanzania Wapiganaji 5 wa ISIS raia wa Tanzania wakamatwa kwenye operesheni ya ugaidi Puntland, Somalia

    Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea katika safu ya milima ya Calmiskaad (Al-Miskad) kwenye Milima ya Golis. Kwa...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawali chakula cha asubuhi (breakfast). Chanzo ni umasikini

    Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa asubuhi) Utakuta watu wanaenda mashambani, kazini na wanafunzi wanaenda shuleni hawajala chochote...
  10. JamiiForums Tanzania Wito rasmi kwa Marekani(USA)na Jumuiya ya Ulaya (EU): Hii ndo namna pekee mnaweza kutusaidia Watanzania dhidi ya Utawala mbovu wa CCM.

    Nawaandikia Marekani, Umoja wa Ulaya, Uingereza na Canada. Kama sehemu ya mamilioni ya Watanzania tunaodhulumiwa haki zetu za Utawala huu mbovu wa CCM napenda kwanza kuwashukuru sana Marekani na Nchi zote za Jumuiya ya Ulaya na Mataifa mengine ya Magharibi kama Uingereza na Canada kwa namna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Zitto Kabwe alivyowahi kuisaliti CHADEMA na watanzania kwa ujumla hakupaswa kupewa nafasi kuongea msibani.

    Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi. Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM. Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mlidhania mkiwatukana na kuwadhalilisha wakatoliki rais Samia atakubalika! Ndio anazidi kukataliwa mioyoni mwa Watanzania.

    Fanyeni utafiti namna vijana wanavyomchukuia. Nendeni vyuoni na kwenye mashule mfanye tafiti. Wazee pia hawamkubali. Mlidhani kutukana kuwakejeli wakatoliki mtapata sapoti ya wakristo wengine? Mmelamba mchanga.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Jeep Wrangler kutoka kwa watanzania waishio Oman

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ufunguo wa gari aina ya Jeep Wrangler kutoka kwa Khalid Al Barwani lililotumika katika ziara ya Watanzania waishio nchini Oman, ya kuunga mkono juhudi za kiongozi huyo kutangaza utalii wa Tanzania duniani kupitia filamu ya “Tanzania: The Royal...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni Lazima Watanzania Tumlinde,kumtetea na Kumpigania Rais Samia kwa jasho na Damu kwa Kuwa Amejitoa Na kujitolea Maisha yake kwa Ajili yetu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika yatupasa na hatuna budi kumpigania ,kumtetea na kumlinda Rais wetu kwa jasho na Damu na kwa gharama yoyote ile iwayo. Yeye ndiye nembo ya Taifa letu,ndio Taswira ya Taifa letu. Ndio Nchi yenyewe tunayopaswa kujitoa na kujitolea Kwa ajili ya kumlinda dhidi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: Watanzania tujitathmini kwa utulivu baada ya vurugu za Oktoba 2025

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia Tume iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM ni chama kinachozingatia utu wa watanzania, hakitikiswi na hakitayumba

    "Chama hiki ni chama cha watanzania wote, hiki ndo chama pekee kisicho na ubaguzi, hiki ndo chama pekee kinachojali vyama vyote, hiki ndo chama pekee kinachojali utu wa watanzania, chama cha mapinduzi kwa lugha nyepesi tunaita hii ni full package imejaa na imetimia, hiki ndo chama imara. Jambo...
  17. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

    Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW. Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu. DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania eleweni, CCM ni sikio la kufa. Dawa pekee ya kuwanyoosha kweli ni ICC tu

    Yaliyotokea Mbeya leo hivi ndivyo CCM ilivyo. Anayoendelea kuyafanya Kenan kihongosi hivi ndivyo CCM ilivyo. CCM haijutii vifo vya maelfu ya Watanzania kwenye Uchaguzi wa mwaka jana Oktoba 2025. Yaliyotokea waliyapanga na waliyaandaa maana ile ndo njia waliyopanga kuitumia ili wabakie...
  20. JamiiForums Tanzania Imedhihilika wazi CHADEMA baada kuwa chini ya Lissu na Heche imejijenga mioyoni mwa Watanzania

    Ni kuwa Watanzania wana imani na CHADEMA ya sasa hivi kuliko kipindi Cha Mbowe. Fikikiria huu uonevu unaofanyika kwa kufungwa jela mwenyekiti wao. Kufungiwa ofisi. Na kukamatwa na polisi kama wana kamata kuku wakati wafuasi wa Chadema sio waharifu. Leo Tanzania nzima watu wanasheherekea miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…