watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania kama hapa ndipo tulipofikia, hakuna kinachotushtua tena!

    Tulipofikia Watanzania, wenzetu huita rock bottom wakiwa na maana kwamba tulipofika hatuwezi kwenda chini zaidi. Tumegota kwenye mwamba. Fikiria unaagiza mtungi wa gesi na ghafla huo umetua mlangoni... Unaagiza kreti ya soda mbalimbali na hiyo imetua mlangoni... Unampa kazi fundi bomba na...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatufanyia mbaya watanzania. Inatumia bil 733 kununua ndege wakati maji ya kunywa vijijini na mjini ni hakuna

    Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
  3. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wale Askari polisi na Wanajeshi waliokuwa wamesiama pembeni wakiwaangalia wananchi wakivuta ndege kwa kamba ni Watanzania?

    Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana. Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio. Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania Mbululu Sana

    Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
  6. JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Maganga avuruga Bunge ataka wahusika kashfa ya Bilioni 350 kwa Symbion wakamatwe haraka warejeshe fedha za watanzania

    MBUNGE wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga amesema watu wote waliohusika kwenye mkataba wa TANESCO na Symbion na kulisababisha Taifa hasara ya Bilioni 350 wakamatwe mara moja kwani watu wote waliohusika na kashfa hiyo wapo. Maganga amesema hayo Novemba 4, 2022 bungeni Dodoma wakati...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania msikilizeni Dkt. Wiliam Ruto Rais wa Kenya anayoyasema hapa

    Sikilizeni madini
  9. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  10. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  11. JamiiForums Tanzania Tangu nilipojua jinsi Watanzania walivyo nimepunguza sana kuwalaumu viongozi

    Kuna wakati nilitembea nchi fulani nje ya hapa. Kulikuwa na shughuli iliyohusisha watu kutoka nchi mbalimbali . Tukiwa pale wenzetu wakenya na waganda waliokuwepo walionekana kutokuwa karibu na sisi mpaka tulipokuja wasikia mahali fulani wakisema hawa watanzania wape maneno mengi tu na kiswahili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo awataka Watanzania wabadili changamoto kuwa fursa

    Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo "Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto...
  13. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Dini ya Simba na Yanga inavyodhoofisha maisha ya Watanzania

    Inasikitisha na kushangaza sana. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Rais Katudanganya Watanzania au Mtakwimu Mkuu ndiyo Muongo zaidi?

    "Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu. Chanzo: Media zote Tanzania "Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo...
  16. JamiiForums Tanzania Tuna Waziri wa Nishati asiyefaa hata kidogo. Huwezi kulazimisha Watanzania kupikia gas wakati purchasing power yao ni duni

    Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas? Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas? Huku ni kuwatukana raia masikini.
  17. JamiiForums Tanzania Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

    Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana. Takwimu za sasa kwa namba: Mwanza 3,699,872 Kagera 2,989,299 Geita 2,977,608 Mara 2,356,255 Shinyanga 2,123,654 Simiyu 2,078,428 Jumla ni around milioni 15 ambayo...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

    Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

    Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi? Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu...
  20. JamiiForums Tanzania Wazo chokozi: Serikali ya CCM inawatesa Watanzania kwa ukweli huu

    Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…