watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Watanzania tumekubali mgao wa umeme na maji ndiyo mfumo wa maisha yetu?

    Hakika hii nchi takatifu sana kwa mazito niyaonayo Mimi lakini Watanzania masikini na unyonge wao hawana la kusema hata kumtaka MTU flani aondoke madarakani hakuna. Kama haya yanavumilika basi nchi ni takatifu sana. Kuna nchi mkate ulipanda bei wakaamua kwenda kula mikate ya kiongozi wao. Mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania si wajinga sana

    Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbia jana...
  4. JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  5. JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Miaka ipi Watanzania mlikuwa mnapata vitu bure? Kwa mujibu wa Rais Samia

    Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia? Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

    Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu! Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na...
  8. JamiiForums Tanzania CCM mna mpango wa kuwaambia nini Watanzania wakati wa kampeni?

    Hivi kwa Tanzania ya sasa CCM Ina mpango wa kuwaambia nini wamachinga, mamantilie, wakulima, wafugaji, wachimbaji wadogo, Wafanyabiashara wadogo wanafunzi wa elimu ya juu na day workers nini pale watakapokuja kuomba kura. Mind you, hili ndo kundi kubwa la wapiga kura na ndio kundi linalokutana...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tuendelee kuteketeza kodi au tuachane na masuala ya usafiri wa ndege za Serikali?

    Kwa mujibu wa taarifa iliyovhapishwa katika Gazeti la Kingereza la The Eastern ni kwamba ndege za Airbus 220 zote zimepakii, mbaya zaidi kuna ambayo imepakii tokaa mwezi January 3, iliyofataa ilipakii august na ya mwisho imepaki nov 5. Kuna kupindi ATCL Waliamua kupunguz safari kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?
  12. JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania 40% Watanzania hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha

    Wizara ya Fedha na Mipango imesema asilimia 40 ya Watanzania bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Novemba 15, 2022 na Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya fedha, Charles Mwamaja wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu wiki ya fedha...
  14. JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  16. JamiiForums Tanzania Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

    Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania. Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania: Watanzania washauriwa kujiongeza mtikisiko wa maisha

    Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Manchali Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, wametoa wito kwa Watanzania hasa wa Vijijini, kutumia vyema akiba ya chakula waliyonayo, ikiwemo kuwa waangalifu na matumizi yasiyokuwa ya lazima, kitu kitakachowasaidia kumudu mtikisiko wa maisha unaotokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

    Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga. Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
  19. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

    Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF. Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake . JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…