watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

    Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Lipo tumaini kwa Watanzania na dunia kwa ujumla

    Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala. Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji? Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania someni hapa mtaelewa tunakoelekea

    Huu muungano wa kuletewa viongozi someni muone maradhara yake
  4. JamiiForums Tanzania Wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi na matakwa ya nchi yetu. Watanzania msiumize vichwa vyenu

    Wakuu, Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile. Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na vyombo vyote vya usalama vina bariki hayo kutokea ndiyo maana hayaishi! Dola na baraza la usalama wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Edo: Yanga ni tegemeo pekee kwa Watanzania

    "Yanga ndio tegemeo pekee la Tanzania kimataifa, Watanzania wana imani na Yanga inaweza kuleta Kombe la CAF msimu huu, sio timu inashiriki kimataifa ikifaka Robo ishachukua Ubingwa, tutoke huko kwenye mpira wa kizamani,” Edo. Dauda “Kufika Robo Fainal ni Progress sio achievement.”
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

    Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe. Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao. Hii salamu haisaidii
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

    Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

    Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

    Wanabodi, Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu Ushauri wa bure Chadema, iwapo Watanzania kwa kauli moja wataamua 2025 twende na Mwanamke kama nilivyo shauri hapa, Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule...
  12. JamiiForums Tanzania TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanawaza kumtukuza mtu au Rais kuliko taifa lenyewe

    Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kipi ni bora wanyama pori au Watanzania waishio pembezoni mwa hifadhi za taifa?

    Kipi ni bora, wanyama pori au watanzania wanaoishi pembezoni mwa Hifadhi za Taifa. Hapa nitatoa mifano miwili. (1) Wananchi wanaoishi pembe zoni wa Hifadhi ya Serengeti Wilayani Tarime.Ikumbukwe kuwa wananchi kila kukicha wanaongezeka na ardhi haiongezeki. Beacons ziliwekwa miaka 1962...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyechora Katuni hii anatukebehi watanzania au anaelezea ukweli jinsi tulivyo??

    Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu anayeiangalia. Nchi za Afrika ya Mashariki wachora Katuni hutoa tafsiri jinsi ya watu husika...
  16. JamiiForums Tanzania Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapigwa tena na Kampuni ya Upatu ya "Best Capital Management" zaidi ya Bilioni 15

    Watanzania sijui watashtuka lini. Lakini hii ni uthibitisho wa fikra za Darwin kwamba hapa Duniani ni eitha uchague kua chakula uliwe ama uchague kua mla chakula. Siku zote wala chakula hutafta chakula kilichoiva wakile, wakikukuta umejikalia kama chakula kilichoiva lazima utaliwa tu...
  18. JamiiForums Tanzania Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Tanzania ina kiwango kikubwa cha kodi na ushuru inaotoza kwenye simu za mkononi ikilinganishwa na mataifa mengine duniani. Viwango hivyo vinaelezwa kuwa juu kuliko mataifa mengi ya kusini mwa Jangwa la Sahara, Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika, Ulaya, Asia hata Amerika Kusini, hatua...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wajinga wanastahili kuibiwa

    Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi. Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi na ujambazi wa kutisha. Sijaona makongamano ya mapadri na watawa wenye vilemba wakikemea...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuachane na dini za kigeni tugeukie mizimu na matambiko yetu

    Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi! Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…