Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash
https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake.
Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
ENEO LA KAZI MBEYA
KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI
VOICE OVER,NK
MSHAHARA MAKUBALIANO YETU
tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma
josefevafeva@gmail.com
Nimongeza Muda wa Kuomba tena,
Hata kama Upo kwenye Chombo kingine ila uko mbeya unaweza kuwa Reporter tuma maombi yako chap wanahitajika...
Sakata la Bodi ya Ithibati limezua janga na wengi wa watangazaji wamekwama kuendelea na shughuli za utangazaji kwani tasnia hiyo yahitaji uwe na cheti cha ngazi ya Diploma.
Lakini nina ushauri kwa watangazaji wengi ambao wana shahada yoyote ya kwanza kwamba wana uwezo wa kusoma shahada ya...
Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️
"Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
Mimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi.
Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika hali yake. Asante Sana Serikali kwa hili.
Mfano yule Chumvi alikuwa anaharibu Sana.
Kuna nini. Maana Jahazi nasikia sauti za watangazaji mpya.
Nikienda Wasafi nako watangazaji maarufu siwasikii tena!!
Nini kinaendelea maana maredio haya makubwa watangazaji maarufu siwasikii tena...
Wapi Mchomvu, wapi Kipanya, wapi Masanja, Zembwela nk
Yaani binti anapohojiwa na ripota wa online media asipotaja hili neno ni kama anawashwa washwa hivi. Hili neno linakifu mjue😮
Sasa leo nawuliza mabinti waliomo humu sababu inayowafanya walitumie sana hili neno ni nini?
Cc Mshangazi dot com.
Nimeona kuna mjadala mkali unaendelea mitandaoni kuhusiana na baadhi ya mashabiki wa Simba kuamini kuwa Simba haipati matokeo mazuri pale mechi zake zinapotangazwa na mtangazaji wa Azam TV, Gharib Mzinga.
Binafsi, mimi siwakubali hawa watangazaji woote. Kwanza wote wana chembechembe za uto na...
Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'.
Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
Mambo vp wakuu.
Wasanii mama kawabeba sana, mikutano yote mpo nae anawakusanya wasanii wote wa muziki na uigizaji.
Wengine Hadi china Kawapeleka lakini mbona na nyie hamjitoi kwake kwakutumia sanaa yenu?
Mnaishia kupost tu Instagram kwel.!!!!!
Wasanii tengenezeni documentarys za kuonyesha...
Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi.
2.Margareth Geddy
Huyu dada anatangaza kipindi cha Hoteli zetu Safari channel, Kazi yake ni kutembelea...
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
Maelezo ya Tundu Lissu
*Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa.
*Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul
Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina.
Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika?
Mtangazaji...
Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously?
Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi?
Aibu sana kama...
Habari wanaJamiiForums,
Nisizunguke sana. Ni kama tanagzo linavyojieleza. Wanahitajika vijana wawili ambao wana uwezo mzuri sana wa kuchambua habari za burudani (Gossip), matukio nk. Ambae anaweza kufanya kazi akiwa nyumbani.
Kuna youtube channel ambayo imenza kupokea matangazo na tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.