watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  2. and 998 others

    Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  3. Ngongo

    Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

    Heshima sana wanajamvi, Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa. Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  5. Mkwawe

    Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

    Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini mimi Mkwawe pindi utakapopoteza madaraka, ushawishi na nguvu hakuna chawa yeyote atayekupambania...
  6. peno hasegawa

    Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  8. J

    Kwanini wanasiasa wa Zanzibar hawanunuliwi, badala yake tunanunuliwa Watanganyika tu?

    Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika. Kulikoni Watanganyika?
  9. Erythrocyte

    Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

    Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana! Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu...
  10. S

    Watanganyika tuilinde nafasi ya Urais kwa wivu mkubwa ili kuokoa rasilimali zetu

    Wazanzibari walipoweka sharti la "Mzanzibari mkazi" kwa kila anayetaka kuwania nafasi yoyote nchini kwao hawakuwa wajinga. Walifanya hivyo ili kulinda maslahi ya nchi yao, wakiamini kwamba wakiongozwa na "wa kuja" wanaweza kuuzwa ama kuingizwa mjini. Kuna kila sababu na huku Tanzania bara...
  11. Jaji Mfawidhi

    Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  12. Mohamed Said

    Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

    Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961. Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa. Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
  13. chiembe

    Tundu Lissu alishambuliwa na watanganyika, mzanzibari akaenda kumpa pole, aliwakimbia watanganyika, mzanzibari kamrudisha

    Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana. Tundu Lissu alimkimbia mtanganyika mwenzake akaenda kuishi ubeleji, mzanzibari alimfata mpaka ubeleji, akampa passport ambayo...
  14. GoldDhahabu

    Tanganyika na baraka za Watanganyika

    Japo hazina uthibitisho wa kuaminika, lakini kutokana na hali ilivyo, unaweza ukashawishika kuziamini. Maelezo ya mtu anayedai kuwa alikuwa Mwenyekiti wa wachawi wa Tanzania kabla ya kuachana nao mnamo mwaka 2000 ni kama ifuatavyo: 1. Tanzania inatawaliwa kwa msaada wa nguvu za kichawi. Kabla...
  15. R

    PreGE2025 CHADEMA mnawafia, mnawatetea watu walio kufa, tufufuke watanganyika tupaze sauti, tuandamane serikali ijue kuwa sisi ndio wenye nchi

    Kazi kubwa mmeiofanya CHADEMA from your inception ya kuwatetea watanzania, watanganyika in particular lakini masikini mnawafia watu waliokufa, maiti hawajitambui. Nyerere alimwaga sumu sana kwa hawa watanzania, sasa ni kama maiti/mizoga isiyokuwa na uhai wa kutambua kuwa wana haki ya kuihoji...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Kero za Muungano 15 kati ya 18 zimeshatatuliwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kihutubia Taifa kuelekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais Samia amesema mojawapo ya sababu zinazofanya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar udumu ni uwepo wa tume ya pamoja...
  17. B

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  18. III II II II II

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
  19. Mto Songwe

    Wazanzibari ni wazalendo wa nchi yao ila Watanganyika sijui tuna matatizo gani!

    Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa Watanganyika(Watanzania). Ni nini huko somo la uraia linafanya mashuleni juu ya Watanganyika mbona ni wapumbavu...
  20. Samia atosha tukutane2030

    Watanzania wengi ni wachawi, makinika

    DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo. Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi? Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
Back
Top Bottom