watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuwe na jadi ya kujitambulisha kama watanganyika popote tulipo kama wale jamaa zetu wanavyojiita Wazanzibari

    secretarybird huwa najifeel mzalendo nikikumbuka kuwa Mimi ni mtanganyika. Nikijitambulisha kama mtanzania ni kama kuna kitu napungukiwa, ndiyo maana sijawahi kuipenda Taifa stars. Jamaa zetu wa ng'ambo wanajiita wazenji halafu sisi tunakazania kuwa watanzania. Muungano huu ni wa kipuuzi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika maelfu wamekufa Simba na Yanga hawajatoa pole, eeh Mungu tukumbushe sisi niwapitaji tu hakuna mfalme wa milele isipo kua wewe baba

    Baba Kibu Denis kafariki wakatoa pole, kuchangusha watoto wao wakiwa wagonjwa wanaanda mechi za hisani ila watanganyika walio kufa kimya kimetawala, eti tujaze viwanja shut up wanao jaza viwanja wamo makaburini wamerundikwa ka mizoga, Kuna watu wanaamini dunia ni yao time will tell. Here we go...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

    Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini. Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya kueleweka hivyo zinakuwa suspended. Kusubiri CNN au BBC wakukomboe ni mstumizi mabaya ya akili. 2015...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekeko: Namna sahihi ya kuwasherekhea mashujaa wote waliopeteza maisha Mo29

    Wakati tukiwa njiani kuindea D9 , nivyema tukawakumbuka mashujaa wote walioanguka kwa ajili ya Tanganyika kuanzia Siku ya 29.10.2025 nakuendelea. Binafsi nitapenda machache yafuatayo yafanyike kuwaenzi wenzetu na sisi wengine tulioko njiani kuwafuata huko waliko kuanzia Siku ya D9 nakuendelea...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  8. JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwani lazima utawale? Wahurumie watanganyika, kweli 9.12.2025 wafe kwa wingi kama last time?

    Yangu ni hayo. Ndio ujumbe wangu kwako. Yasitokee tena. Mimi nakipenda, naipenda Tanganyika, spare life!
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  11. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutokana na ukatili mkubwa unaodaiwa kufanywa na Wazanzibari kwa Watanganyika, Sheria kali ziwekwe kudhibiti uingiaji wa Wazanzibari Tanganyika

    Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma. Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, sijasikia kauli yako kuhusu mauaji ya watanganyika, wanachama "wako". Umeyafurahia mauaji haya? Hapana!

    Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana. Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
  13. JamiiForums Tanzania Wale mnaosikia juujuu tu kwamba mauaji ya maelfu Watanganyika wakati wa uchaguzi ni kisasa, kujeni niwa-brief kidogo

    Uchaguzi mkuu Oct.29 Mwaka 2000 Mkapa akiwa anatetea mhula wa pili wa urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zanzibar ccm walimsimamisha Aman Abeid Karume akichuana na Maalim Seif wa CUF wakati huo. Seif alitia upinzani mkubwa sana kwa Karume. Na kulikuwa na kila dalili ya CUF kushinda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA, Watanganyika tunajua mnatumika kupandikiza hoja ya Udini. Jueni tu hamtaweza kututoa kwenye reli

    Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona. Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado KKKT walitoa nyaraka mbalimbali kumsema na kuituhumu Serikali yake kwa ukandamizwaji wa haki za...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Tuelimishane: Mbunge huyu anayewakilisha wenye ulemavu atakuwa anatoaje hoja bungeni?

    Mbunge wa viti maalumu walemavu akila kiapo..binafsi sipingi uwepo wa wenzetu wenye changamoto bungeni, lakini kwa mwnenendo wa mambo ulivyo nchini hatutakuwa na budi bali kuwabagaza baadhi yao sababu na wao ni sehemu ya serikali batili. Okey huyu Mh. atakuwa anatoaje hoja zake? Au ndo Ile ya...
  17. JamiiForums Tanzania Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Samia alidhamiria kuwaua watanganyika kwa malipo ya maridhiano, tusikubali kamwe, damu malipo yake ni damu

    Wakuu, sina maneno mengi,nimefatilia video za kampeni za mgombea urais wa CCM na makamu wake inaonekana kabisa walijipanga Kwa mauji ya watanganyika ili malipo yake yawe maridhiano, walinuia kuharibu uchaguzi na kuwauwa watanganyika wakijua kuwa watanganyika ni wajinga watawahadaa Kwa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ina maana ni kweli kwamba jeshi letu na vyombo vyake havikujua kwamba huyu mtu alikuwa na kisasi na watanganyika tangu 2001

    Kwamba walio kuwa wanawaminia watanganyika risasi kama wanaua ngedere walio vamia shamba la mahindi kilikuwa ni kikosi toka zanzibar hilo mimi sina hakika lakini ni kweli kabisa waliuawa kwa mamia kwa risasi za moto na kilikiwa kisasi hasa maana mashuhuda wengine walio nusurika uliongea nao...
  20. JamiiForums Tanzania Watekaji na wauwaji wa kikatili wa watanganyika siku ya maandamo na baada,weakness Yao ilikua ni ipi?

    Bewere sihamasishi watu kufunga barabara lakini 1. Kawaida nguvu zao kubwa ni pia udhaifu wao Uwezo wa haraka na kusogea: wanatumia magari na silaha za moto, hivyo wanaweza kushambulia haraka. Udhaifu wa uangalizi wa umma: wanategemea kujificha na kudanganya raia (mfano: askari “wa kirafiki”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…