watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

    Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre. Ghafla nikaanza kuota...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

    Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au vijiweni Wasanii wote chali.. Si wa nyimbo za kidunia Si wa nyimbo za kiimani Si wafanya maigizo Si...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wengi wakimbilia Zanzibar kuogopa Desemba 9?

    Kuna taarifa kwamba hivi sasa kupata boti ya Zanzibar imekua shida. Watanganyika wengi inasemekana wamekimbilia kwa ndugu zao na wengine mahoteli ili kukimbia December 9. Zanzibar inasemekana imekua kimbilio kubwa kwa watu wa upande wa pili Quran “Je, mnadhani kuwa mtaachwa bila kujaribiwa?…”...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Maza anatuchukuliaje Watanganyika aisee?

    Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha . Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu Yaani anaamini vipi na wale...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kinacho nipa Amani kidogo rohoni, ni kuwa Watanganyika wanataka Tanganyika yao na si Tanzania

    Kila.mmoja analikia TANGANYIKA maana wanajua huyu atarudi kwao na kuiacha TANGANYIKA maiti! Ukiwaacha MAUBWABWA wachache ambao wako driven na dini, all the rest of TANGANYIKANS are bent to Tanganyika REVIVAL
  6. JamiiForums Tanzania Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
  7. JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hotuba ya leo, ni kukaza ICC intervention. Amedhamiria kuwasafisha watanganyika

    This is my observation. No more No Less
  9. JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  10. JamiiForums Tanzania Askari uhamiaji mwenye asili ya Rwanda kukagua uraia wa Watanganyika ni maajabu.

    Pale Kamsisi kama sijakosea ukiwa unatokea Tabora au Mpanda karibu na mzani Kuna Beria pale. Jana tulisimamishwa akaingia askari uhamiaji mwenye asili ya kihutu completely yaani huulizi mara2 Etii kaanza kunihoji kuhusu vitambulisho nilimuambia Sina kitambulisho hata kimoja nimesahau...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je,Wajua ?Kuna Watanganyika wenzetu ambao risasi hazingii kwenye miili yao na Kuna wengine kwenye Tafrani hawaonekani

    Kwetu Kuna Mzee mmoja ambaye huwa anafuatwa na Jeshi wa( JWTZ) hasa wakiwa wanaenda kwenye nchi mbalimbali Kwa ajili ya kulinda amani ya nchi husika. Asilimia 100% ya wanaopita Kwa huyu Mzee huwa wanakuja kutoa ushuhuda na ahsante za kutosha Tukutane 09.12.2025
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpaka sasa, Jakaya Mrisho Kikwete hajalaani mauaji ya WaTanganyika!

    Ni jambo la fedheha kuwa si Rais Mstaafu Kikwete wala CCM hawajalaani mauaji ya vijana wa Tanganyika. Hili limekaaje wadau? NYONGEZA. Hapa karibuni, Msukuma ameliongelea hili. CCM imedoroa.
  13. JamiiForums Tanzania Damu za watanganyika Haziwezi kumwagwa bure hivi: Je, Samuya Atakwenda The Hague?

    Hakuna mtu aliyetarajia hivi. Mwaka 2021 tulipompokea Samuya tulidhani tumepata Mama , aliyeahidi kufungua nafasi ya kisiasa. Leo, miaka minne tu baadaye, vijana wetu wengi wamepotezwa hawaonekani tena.Video za mochwari za Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya ndo zinazidi kutia simanzi kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  15. JamiiForums Tanzania Tuzikatae nchi zote watakaojifanya wapo na Watanganyika baada vya Vikwazo

    Ndio kuna nchi kazi zao ni kutumia fursa wapo kama magonjwa nyemelezi wao hawajali maisha ya watu. Kwa sakata linaloendelea nyakati hizi baada ya ndugu zetu kumiminiwa Risasi na makatili tarehe 29/10/2025 ili kuwalinda watawala makatili wanywa damu kuna hatari vikwazo vikatembea vizuri tu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa kujihami kwa silaha yoyote kila wakati

    Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko.. Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na wanaojiita wanausalama. Wito wangu kwa waTanganyika wenzangu " hatuna mtu wakutulinda zaidi yetu sisi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tumejifunza nini?

    Nimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii. Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile. Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Former Pm - Majaliwa K. Majaliwa (Watanganyika tutakukumbuka)

    Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti. Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA. MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu. Chao.
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

    Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…