watakiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Watakiwa Kuhakikisha Bidhaa Zinakaguliwa na TBS Kabla ya Matumizi

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi watakiwa kuoga kwa Dakika 2 tu na Kutoflash Vyoo kila wakati ili kutunza Maji Afrika Kusini

    Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji kabisa. Wananchi wametakiwa kumwaga Maji kwenye Vyoo baada ya kwenda haja kadhaa na sio kila wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani: Wafanyakazi San Francisco watakiwa kufanyia kazi majumbani kutokana na kiwango kikubwa cha uhalifu

    Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine. ======= Hundreds of employees at...
  4. JamiiForums Tanzania Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
  7. JamiiForums Tanzania Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye nia ya kugombea Uchaguzi mkuu 2025 watakiwa kujifunza kwa waliowatangulia

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi unaongezeka, wanawake wenye ndoto za kugombea uongozi wameshauriwa kuanza kujifunza kutoka kwa wanawake wanasiasa waliowatangulia ili kuongeza ujasiri na uthubutu wa kukabiliana na vikwazo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
  9. JamiiForums Tanzania Makandarasi Watakiwa Kuzingatia Taaluma

    MAKANDARASI WATAKIWA KUZINGATIA TAALUMA Makandarasi wa ndani wametakiwa kutumia wataalam wenye sifa katika kutekeleza shughuli zao, ili kuifanya miradi inayotekelezwa kuwa na viwango na kudumu kwa muda mrefu kulingana na vigezo vilivyowekwa kwenye mikataba...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Madereva watakiwa kubadilika ili kuepuka ajali za barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
  11. JamiiForums Tanzania Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  14. JamiiForums Tanzania Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  16. JamiiForums Tanzania Mary Masanja: Watanzania wawaenzi mashujaa wa Vita ya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni

    MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

    Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023 Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

    Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
  19. JamiiForums Tanzania Wagonjwa watakiwa kufua mashuka ya hospitali

    Ukosefu wa maji katika Kijiji cha Chihangu kilichopo Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara umesababisha wagonjwa wanaotibiwa katika Kituo cha Afya Chihangu kutakiwa kufua nguo za hospitali kabla ya kuruhusiwa. Mkazi wa Kijiji cha Kihangu B, Musa Kajana amesema wagonjwa wanapomaliza kupata matibabu...
  20. JamiiForums Tanzania Kusini mwa Tanzania watakiwa wawekezaji

    Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…