Wadau, kuna fununu nimekuwa nikizisikia kutoka mitaani na mitandaoni kuwa Wanawake WAKISUKUMA siyo mafundi katika suala zima la Mapenzi,
Watu wengi wanafananisha level ya Wasukuma kuwa ni sawa na ile ya wanawake wa Kenya, ..
Hebu wadau saidieni hapo, huu ni ukweli ( in general ) au ni fununu...