wasiojulikana

  1. W

    Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
  2. Watu wasiojulikana wamchukua Agent wa gari ya makuti, lakini Wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni

    Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni. Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
  3. Popobawa ametekwa na wasiojulikana?

    Ni muda sasa umepita hatujamsikia je amepitiwa na wimbi la utekaji uliokithiri maana alikua na utaratibu wa kila mwaka kuchagua mtaa au wilaya zilizompendeza na kuwasalimu wanaume tu usiku wa manane na shart lake uende hadharan ukasifu ukarimu wake usiku wa jana la sivyo atakua mgen wako kila...
  4. M

    Mtoto Wa Muammar Gadafi Ameripotiwa Kuuawa Nchini Libya

    Kabla ya kuanguka Utawala wa Ghadhafi huyu mtoto wa Ghadhafi alikuwa kama Rais wa pili, leo ameliwa kichwa na Walibya. --- Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Libya, Hayati Muammar Gaddafi, Saif al-Islam ameripotiwa kuuawa katika eneo la Zintan nchini Libya, kwa mujibu wa wakili wake. Hadi sasa...
  5. Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

    Askari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro. Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali. Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita. Huyu na wenzake wakija kukuchukua usiku wanakupoteza bila shida yoyote kwa muonekano tu na roho yake...
  6. Tanzania 2026 bila utekaji bila wasiojulikana. Bila kuwa Wauaji wa watu wetu wenyewe

    Hamjambo! 1. Moja ya mambo yaliyonifanya niandamane na kunusurika kuuawa ni pamoja na kupinga Utekaji, mauaji, wasiojulikana na siasa zisizo za haki kwa wapinzani. Ingawaje sina chama lakini mimi ni mdau na mpenda haki. 2. Nakereketwa na kukerwa nikisikia mtu Fulani kapotea katika mazingira ya...
  7. Angalia Wasiojulikana wanavyosumbua Dereva wa Basi.

    Basi imebeba abilia, lakini mtu anaamua kuifanyia fujo Basi yenye abiria. Mbaya zaidi anatoa Bastola ili ampige risasi Dereva. Wasiojulikana wametamalaki. Trafiki hata ulipoti hawanyi chochote.. Sasa kuna watu wapo Juu ya Sheria Angalia anavyofanya fujo ili Basi ipate ajali. Au Majini yao...
  8. Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  9. PostGE2025 Dar: Fortunatus Buyobe adaiwa kutekwa na wasiojulikana

    Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar. Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa mpaka sasa. Soma pia: Fortunatus Buyobe: Maisha yangu yapo hatarini, nawindwa na Askari wenye...
  10. Heche amjibu Msigwa 'SGR unamjengea nani kama mnaua watu'

    Yaani unataka tujadili SGR badala ya maisha ya watu?Shame on you!!! Hiyo SGR hata wakaloni walijenga, wewe Msigwa hujui reli ya kati iliyojengwa na wakoloni ilikua SGR wakati huo?Je unajenga SGR ili itumike kufanya nini kama mnaua binadamu wanaotakiwa kuitumia?Mnajengea wanyama au miti?Hivi...
  11. Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  12. Jinsi kikundi cha watekaji cha wasiojulikana kinavyoweza kuja kuwa na nguvu kuliko JWTz tukizembea

    Katika miaka ya karibuni, baadhi ya matukio ya utekaji na vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu yamehusishwa na kile kinachoitwa kikundi cha wasiojulikana nchini Tanzania. Ingawa taarifa zao ni za kusikika tu bila ushahidi wa wazi, mjadala kuhusu uwezekano wa kikundi hiki uongezeka na tishio...
  13. R

    PostGE2025 Amani kwanza, haki baadae ni Msingi wa dini mpya ya wasiojulikana?

    Salaam! Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni, Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali wakijaribu kuuaminisha umma wa watanzania kwamba AMANI ndio Msingi wa HAKI. Msemo huu unaoenezwa kwa...
  14. Sijui kama tunajifunza, kuna kitu tunaletewa na kitakuwa kigumu pale Serikali mbovu inapotengeza wasiojulikana mpaka kuwa kikosi chenye uwezo

    Mifano tumeona M23 kule congo, Sudani kwa Bashiri sababu ya uchu wa madaraka alitengeza kundi la kumlinda yeye RSF mwisho wa siku limekuwa na nguvu kuliko serikali. Yapo makundi mengi ambayo kudhibiti ni ngumu sababu yalianza kwa kutojulikana na kukanushwa ila duniani yametambulika rasmi. Kwa...
  15. Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  16. GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  17. Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  18. Sisi ndio watekaji na wauaji, tunawasingizia tu wasiojulikana

    SISI NDIO WATEKAJI NA WAUAJI TUNAWASINGIZIA TUU WASIOJULIKANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wasiojulikana! Kivipi yaani? Hawajulikani kwa namna ipi? Watekaji na wauaji ni sisi sisi Watanzania. Alafu tunajitia hawajulikani. Hawajulikani? 2. Mwaka wa kumi huu! Mnakimbizana na jambo...
  19. H

    Watanzania: Je, Mungu wa kwenye Quran na Biblia ameshindwa kutulinda dhidi ya wasiojulikana?

    Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia? Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia? Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa. Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
  20. Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

    Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP. Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”. Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…