wasanii

  1. Steve Nyerere: Wasanii wa Bonge fleva hawajitokezi kwenye misiba

    Naona hoja ya Steve ni ya kweli, ukifuatalia wasanii wa Bongo Movies wanajitokeza sana kwenye kila msiba kuliko wasanii wa Bongo fleva ambao wengi wao wanajitokeza kwenye misiba inayowahusu wasanii wa bongo fleva. Lakini watambue hii ni tasnia moja na wanapaswa kujitokeza kwenye kila msiba...
  2. CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  3. Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  4. Kwa nini kauli za kawaida za matajiri bongo huwa zina uzito mkubwa sana?

    Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi, Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
  5. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  6. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  7. Mbunge Tauhida: Wasanii wasio na skendo wapewe "Pasipoti za Huduma" kuwarahisishia safari zao Kimataifa

    Wadau huko Bungeni kuna mapendekezo ya Wasanii wapewe Service Passports Mbunge wa Viti Maalum, Tauhida Nyimbo amependekeza Wasanii wa Tanzania ambao hawana skendo na wanaiwakilisha nchini kimataifa wapewe "Pasipoti za Huduma", ambayo hupatiwa Mkuu wa Mkoa, Msajili wa Mahakama ya Rufaa au...
  8. Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

    Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo". Nitatoa mifano: 1. Majina...
  9. D

    PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  10. Orodha ya wasanii wa Kiume wasio na Watoto

    1.Jb jerusalem 2.jux 3.piere liquid 4.omy dimpoz 5. Ongezea unaiwaju jamii isiwe gandamiz kumsema wema sepetu na wengine iwe fair
  11. Walituambia Umeme wa maji umepitwa na wakati, huku wao wanajenga na kupanua mabwawa yao. Wazungu wasanii sana

    Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi zao. Kama umeme wa maji umepitwa na wakati, kwa nini wao wanajenga mabwawa ya umeme zama hizi
  12. B

    Wasanii walia na tozo wanazotoa ku-shoot kwenye vivutio vya taifa

    Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
  13. Wasanii kazini

    Wizi umekuwa mkubwa na wazi kasi Kwamba chama sasa kinanunuka. Tuhuma na matukio ni kila mahali. Chama kimeachwa uchi wa mbuzi Sasa kujinasua kwenye hili tope wameamua kujisafisha kwa kuwangushia jumba bovu wengine… Wakiamua kujibu mapigo…
  14. C

    Hivi kipaumbele cha Viongozi ni kuwapeleka wasanii kwenye majimbo Yao?

    Napenda kusema hiki kizazi cha Sasa kinazaraulika sana,yaani wananchi badala ya kuwezeshwa au kuonyeshwa maendeleo wamekuwa wakipelekewa wasanii,hivi hii inaingia akilini kweli?
  15. Je, hiki kinachompata Nay wa Mitego ndiyo sababu ya kuwa na Wasanii wengi Tanzania wanaojinasibu kuwa ni CCM?

    Huenda kinachompata Nay wa Mitego ndio sababu inayowaogopesha wasanii na kuamua kutangaza wao ni CCM kwani ukiwa CCM uko salama dhidi ya mkono hakuna baya litakupata. Ila tumeoma wasanii waliokataa kuvaa kijani namna wanapelekeshwa na mkono wa dola, leo BASATA wamewaita kesho BASATA...
  16. The power of AI, sasa unaweza kuwa unapata ngoma mpya kabisa za wasanii wako waliokwishakufa

    Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo Technology iko kasi. AFadhali tuendelee kufaidi ngoma mpya
  17. Wasanii wa kipindi kile walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli

    Mhadhara - 40: Wakati ule tulikuwa tuna idadi kubwa ya wasanii waliopeleka ujumbe mzuri kwa jamii na serikali. Hakika walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli. Hawakupata hela lakini walituachia kitu maishani. Hebu tuwakumbuke baadhi; 1. AFANDE SELE - aliimba NAPENDA NDUGU ZANGU: Alituhamasisha...
  18. Nini kikwazo cha wasanii Filamu Tanzania kutokwenda kimataifa?

    Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
  19. Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
  20. LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…