wasaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri. Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
  2. Penguinelli Cactussini

    Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  3. The Father of All

    Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  4. Pulchra Animo

    Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  5. JF Analyst

    Wasanii na watu maarufu wasiopigania maslahi ya wananchi ni wasaliti kwa raia au wabinafsi?

    Ipo kauli inayosema msanii ni kioo cha jamii, kwa sababu wanapaswa kuakisi na kuifunda jamii yao katika mstari ulionyooka katika nyanja zote. Kupitia sanaa yao wanalo jukumu la kuielimisha jamii, kukosoa na kukemea maovu, kuburudisha na kadhalika, yote ni katika kujenga jamii yenye haki, amani...
  6. S

    Tshabalala alikuwa miongoni mwa wasaliti ndani ya Simba, akiondoka nitafurahi sana

    Huyu dogo mnaolia lia endapo ataondoka niwaambie msichokijua, ni msaliti namba moja ndani ya timu yetu, nna mengi kuhusu yeye, ngoja nikae kimya t
  7. upupu255

    SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amechapisha ujumbe Instagram asema 'Kawe tusiunge mkono wasaliti'

    Wakuu wa JamiiCheck huku kimewaka tunaomba uhalisia wa taarifa hii.
  8. The Burning Spear

    Kwa nini wanachama wasaliti wa Chadema nyota zao hupotea jumla?

    GT Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema. What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
  9. R

    Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  10. BOB LUSE

    Chawa wa wawekezaji ni wasaliti kwa wazawa!

    Kuna Kampuni ya Mawasiliano ya simu imejenga MNARA kwenye eneo langu lililopimwa, mjini,Bandari Salama,Wanatumia eneo la 500 Sqm, Kwa malipo ya laki tatu, mkataba ulisainiwa miaka nane ya nyuma, Kimefika kipindi Cha kuhuisha Mkataba,Waswahili wanahakikisha huonani na Mzungu mwenye Kampuni...
  11. Just Pray

    PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA Tabora: G55 ni wahuni na wasaliti wanakiuka msimamo na maazimio yaliyopitishwa kwenye mikutano halali ya chama

    Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
  12. Zanzibar-ASP

    CHADEMA acheni mijadala ya kurejeshwa kwa Covid 19, Msigwa au Slaa. Hao sio wenzenu, ni wasaliti, hawahitajiki popote, wanasaka fursa tu.

    Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti ndani Chadema na zinaendelezwa hadi sasa huku upande wa wapambe wa Mbowe ukipiga...
  13. chakii

    Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

    Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
  14. Nehemia Kilave

    Hivi hawa wote walikuwa wabaya au wasaliti pale CHADEMA ?

    Nimejaribu kujiuliza sana baada ya Tundu lissu kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti basi imekuwa tatizo sana kwa baadhi ya viongozi na wanachama , nikajiuliza hivi hawa walikuwa wabaya au wasaliti kama tulivyoaminishwa ? 1.Dr slaa 2.Zitto kabwe 3.Amani kabourou 4.Prof Safari 5.Mchungaji...
  15. Mindyou

    LGE2024 Songwe: Ado Shaibu wa ACT Wazalendo atangaza kufuta uanachama viongozi wote wasaliti ndani ya chama hicho

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
  16. TheForgotten Genious

    Siku hizi wanawake wamekuwa wasaliti kuzidi wanaume

    Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion? Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
  17. Asali ya limao

    Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    SURA YA KWANZA ASUBUHI YA HEKA HEKA Utangulizi. Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la kulinda raia na mali zao lakiniilitosha jina lake kusemwa katika korido za makao makuu yajeshi hilo na...
  18. Bulelaa

    Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  19. GENTAMYCINE

    Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  20. Brain Kingdom

    Hivi kwanini tunawaita wanasiasa waroho na wasaliti waheshimiwa/Honorable/Excellence tunajidharirisha tuache.

    Hellow, Ni vema tuache kujishusha kwa kuwaita wanasiasa wasio na faida hayo majina mazuri yenye kuwatukuza wakati matendo na tabia zao wamejaa ushetani. watu wanauza mali za nchi, wanafuja mali, wala rushwa, wachoyo, wabinafsi, waongo, mafisadi na hawana huruma halafu wanaitwa waheshimiwa ni...
Back
Top Bottom