wasabato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wako wapi wale wasabato wa zamani?

    Nimetoka mkoa wa Mara-Tanzania, sehemu niliyokulia Mimi Kuna wasabato wengi kiasi, Pamoja na dhehebu la menonite ndio wamedominate huko. Kwenye familia yetu mzee wangu sio msabato, Lakini kaka zake na ndugu kiasi ni wasabato. (Mzee wangu alioa wanawake wawili) ni kama Hana tu dini. Nilipokua...
  2. M

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi? Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande. Kadhia hii imemkuta mchunga...
  3. Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

    Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani. Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi. Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
  4. Kumbe wasabato (SDA) ni ruksa kusherehekea Christmas? Soma hapa alichosema mwasisi Mama Ellen G White

    JE! WASABATO HUSHEHEREKEA KRISMAS? RAIS WA SDA DUNIANI, PASTOR TED WILSON ANAJIBU. SWALI: Mchungaji Wilson, najiuliza ikiwa Wasabato husherehekea Krismasi? JIBU: "Kama kanisa, hatuna taarifa rasmi au msimamo kuhusu kusherehekea Krismasi, badala yake tunamwachia muumini mmoja mmoja. Lazima...
  5. Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  6. Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

    - Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
  7. Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

    huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato, unaweza kutana na picha mtu anakunywa maji au soda nyingi yanaandikwa maneno "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress" Hii sifa waliyojizolea wasabato nini chanzo...
  8. Niko hapa kanisani kwa sasa wasabato nimevaa jeans, waumini wenzangu wananiona Kama Antichrist.

    Leo nimeona niunganike na waumini wa kabisa la wasabato katika ibada baada ya kupata mwaliko, kwa kuwa huwa Sina suruali za mitambaa wala makoti ya suti ,nimeona nipige jeans na Converse nyeusi. Tokea mlangoni kila mtu ananiangalia utafikiri mie sie ndugu yao katika Imani. Kanisa nilikuwa...
  9. Kwanini Wasabato Wanatengwa kwenye Shughuli za Kitaifa?

    Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili. Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...
  10. U

    Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  11. Kwanini Wasabato na Wazungu hawaanguki mapepo?

    Jamani sijawahi kuona Mzungu au Msabato akianguka mapepo. Kwanini wanaoanguka mapepo ni Wakatoliki, Waislam, na Waprotestant, Waafrika (dini za asili) na Waarabu lakini Wazungu hawapandishi Wala kuangushwa mapepo? Hata viongozi wa kisiasa na kiserikali hawaanguki mapepo, Kuna siri gani?
  12. Kanisa La Waadventista Wasabato na mabadiliko

    Habarini Wakuu Katika kukaa kwangu na kutafakari katika muonekano na katika biblia tunasoma siku ya sabato yapaswa kufuatwa sawa lkn nina mtazamo chanya ambao wasabato wanaupuuzia siku hizi na tunasema kuwa tunaifuata biblia 1 Suala la wanawake kuhudumu ni makosa [emoji808] ktk biblia...
  13. M

    Kwanini Wasabato hawana Baraza la Kuidhinisha "Halal foods"

    Kwa ndugu zetu Waislamu wanalo baraza la kuidhinisha "Halal foods" yaani vyakula ambavyo havijachanganywa na hata chembe ya product/ ingredients yoyote itokanayo na nguruwe pamoja na wanyama wengine waliokatazwa kwa kadiri ya imani ya Waislamu, Wasabato na Wayahudi. Ukiangalia bidhaa za Azam...
  14. J

    Kisa cha masalia Wasabato na hali yetu ya sasa

    Salamu wanajamvi! Mwaka 2008, Mwezi Julai, Tanzania ilishuhudia tukio la aina yake la kiimani. Wahubiri wa Injili 17 wa madhehebu ya waadventist Wasabato masalia walipiga kambi uwanja wa ndege wa Dar es salaam wakisema wanataka kwenda kuhubiri Injili Ulaya na Marekani huku wakiwa hawana visa...
  15. N

    Wasabato kaeni macho na hii kwaya

    WASABATO MNAIJUA HII KWAYA? Katika uzi huu nakuletea sifa za kwaya mbalimbali, na wewe dondosha sifa ya kwaya unayoifahamu, mimi naanza na kwaya ya wasabato inaitwa LAITBERAZ, Kwaya hii inapatikana Tegeta, Dar es Salaam, sifa kubwa ya kwaya hii ni kwamba wanajua kuimba, inajitegemea katika...
  16. Wasabato masalia walamba mwaka mmoja jela

    wale mitume na manabii waliokuwa wakisubiri kwenda nje kwa kutumiab.....na huku wakirudishwa na kufanya watu kuwa kama vichaa kuwafikiria wao wamelambwa mwaka mmoja jela wakakae huko wakijiandaa upya...habari zaidi zinasema watu hao wakiwa 24 wamehkumiwa jela na wakati wakipelekwa jela walisema...
  17. Wasabato Masalia waendeleza vituko Dar

    Kundi la watu wanaojiita wa madhehebu ya Wasabato Masalia waliopiga kambi Dar es Salaam, wameendelea kuishi katika mazingira magumu hali iliyosababisha mmojawao kupoteza maisha. Sambamba na kuishi katika mazingira magumu na machafu, Wasabato Masalia hao wapatao 30 walio katika kambi ya Tabata...
  18. Wasabato Masalia watimuliwa tena uwanja wa ndege, polisi watoa onyo la mwisho

    Baadhi ya waumini Wasabato, wanaojitambulisha kama 'Masalia' baada ya kutimuliwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, ambako wamekuwa wakipiga kambi kwa imani ya kunyakuliwa hadi Ulaya bila pasipoti, tiketi, visa na taratibu zingine za usafiri wa kimataifa. Na Furaha Kijingo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…