wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je mapendekezo ya "TUME YA HAKI JINAI" yako wapi kwa Polisi hii

    Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Salum Mwalimu

    Ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya. Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

    Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  6. JamiiForums Tanzania AI (Akili Mnemba) itaua kazi za watu, sijui wasomi watakosa kazi aah wapi. Indispensable human on the loop

    AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee. Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi. Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

    Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

    Ameburuzwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Mwanza akikabiliwa na kosa moja la Ulawiti Amepandishwa leo July 9 baada ya makelele mengi ya wadau kutaka haki itendeke Bado haijajulikana kama ataswekwa Rumande au atapata dhamana. ==== Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Yahaya Nawanda, amefikishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wapo wapi Miso Missondo

    Wazee wa makoti hawasikiki kabisa Mara ya mwisho nilisikia wamekula shavu Unyaman Simba mara sijui wamechukuliwa na Majizo. But ninachojua NI kwamba sijawasikia muda Sana. Vip Kwa sasa wanatamba na mtindo gani? Kuna kipindi mtu mmoja aliyelewa mataputapu alisikika akisema Miso Missondo NI...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha namuulizia shabiki yule kichaa mbabe yupo wapi?

    Exactly mwaka 1997 nilikua naenda Arusha kwenye kusaidia kibarua nikitokea moshi hapo nilikua form 3..sasa Nikiwa Pale Soko Kuu akaingia Jamaa Mmoja Mrefu Mbavu kweli kweli..kafanana kabisa na Damme wa Sinza kwa mnamjua Enzi zake aisee Jamaa alikua kapasuka kweli halafu ana bonge la Jibisu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

    Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla. Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada. Mtambo unaitwa VR Box
  15. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nape Nauye?

    Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari. Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Satini maua na English satin zinapatikana wapi?

    Habari waungwana ,natamani kujumuika katika biashara ya uuzaji wa vitambaa hivi vya wakina mama ambao umeshamiri na mita moja inauzwa sh 5000 Niko Dodoma, mwenye uzoefu na biashara hii na mahali wanapochukulia naomba muongozo
  17. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni maeneo gani ambayo hayana uswahili mwingi wizi mwingi sehemu tulivu kwako wewe na Mali zako Kwa dar

    Habari Wana great thinker Katika harakati za kuwaza nitafanya biashara gani na nikae wapi nimekaa nimefikilia nikaona dar es salaam utakuwa mkoa Bora kwangu Kwa kuanza maisha. Umri miaka 25 jinsia kiume. Sina UZOEFU wowote na mkoa huo ila naamini kutobolea hapo sababu zilizonifanya kuwaza...
  19. JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi mbona kimya kingi

    Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kwa ajili ya Date Night kwa hapa Mwanza..(Outdoor)

    Wakuu nataka nitoke na mtu kesho naomba kuelekezwa wapi nitapata best experience kwa hapa Mwanza,isiwe indoor sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…