wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaenda wapi? Tunahitaji wazee wa busara waoga au vijana ambao hawaeleweki?

    Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ule Mpango wa Israel kujaza maji kwenye mahandaki kule Gaza uliishia wapi?

    Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana Viongozi wanagombana kila kukicha Serikali imeparaganyika Waziri Mkuu Netanyahu kajifungia ndani...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Dereva wa Gari la Toyota Landcruiser Hardtop Nyeupe lenye Plate Number ya T216 DHH ya Tundu Lissu uthubutu wa Kuitumia kautoa wapi?

    Yaani mwenye Gari kapigwa risasi ambazo zilitaka Kumuua halafu bila hata huruma bado kuna Mtu sijui kwa Jeuri yake au Jeuri anayopewa kaona haitoshi akaamua kabisa kwenda na Kung'oa Plate Number ya Gari la Tundu Lissu ya T216 DHH na kuamua Kuitumia kama yake Dodoma hadi kuwa na Deni ya Kuegesha...
  6. JamiiForums Tanzania EPC+ F , hii miradi iliishia wapi? Au tulitapeliwa?

    https://www.jamiiforums.com/threads/zaidi-ya-km-2000-za-barabara-kuanza-kujengwa-kwa-mtindo-wa-epc-f-serikali-yasema-hazitalipiwa-tozo.2108484/
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tupo wapi na Internet?

    On Sunday, Tanzania was plunged into an internet abyss due to damage to a submarine cable deep within the Indian Ocean. This outage, which affected Tanzania and 11 other African nations, exposed a troubling truth: Tanzania’s internet infrastructure was a house of cards, precariously balanced on...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kama nchi tunakwama wapi kusimamia mabasi ya Mwendokasi?

    Kuna kilio cha wananchi kila kona kuhusu mabasi ya mwendokasi. Mabasi haya yanajaza pasipo mfano. Mabasi hayatoshi. Mabasi mengi yameharibika na yako yadi na hakuna matengenezo. Watu wanachelewa kufika kazini. Kutokana na tatizo hili wananchi wameombaa kuwa daladala isaidie mabasi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Teknolojia na Maisha: Je, tunakwenda wapi?

    Habari Jamii! Nimekuwa nikifikiria sana jinsi teknolojia inavyobadilisha jinsi tunavyoishi na kufanya kazi leo. Kutoka kwa simu zetu za mkononi hadi kwa matumizi ya AI, teknolojia inaingilia kati kila sehemu ya maisha yetu. Nataka kuanzisha mjadala kuhusu athari za mabadiliko haya. Je...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku. Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia? Huu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  12. JamiiForums Tanzania Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
  13. JamiiForums Tanzania Ni wapi ninaweza kununua haya madumu kwa hapa Dar?? (60 litres)

    kama hayo ya chini.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Yu wapi mwana JF Suzy Elias?

    Ni muda mrefu sasa mwana Jf Suzy Elias haonekani humu jukwaa la Siasa na isivyo kawaida! Yu wapi ndugu yetu?
  17. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  18. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  19. JamiiForums Tanzania Unazikumbuka hizi movies? Ulikuwa wapi?

    1. BABY'S DAY OUT Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake. Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…