wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC ATC nimekosa Mechanical wamenichagua Mechatronics. Sasa hii siitaki Lakini NIT na MUST nimepata Mechanical ambayo...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Yu Wapi Mwanadada Veronica France?!

    Nmejikuta leo namkumbuka uyu mwanadada ambae alitokea kujizolea umaarufu sana kipindi kile Mjomba katuacha bila kutuaga!! Kuna yoyote mwenye taarifa zake? Alafu vp me naona kama yupo hai ingekuwa poa kama balozi akiungana nae wakapiga combination moja nna Imani watasepa na kijiji Chao!
  4. JamiiForums Tanzania Wako wapi washitaki wako?

    [Yoh8:2]Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha. [Yoh8:3]Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. [Yoh8:4]Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini...
  5. JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  6. JamiiForums Tanzania Pesa ya msaada wa El nino ilienda wapi?

    Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa na kutokana na hili mto msimbazi umekua ukitanuka na wakati wa mvua kumesababisha mafuriko Makubwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HII DHAMBI YA.KUZINI KWA KUTAMANI TU INGEANGALIWA UPYA JAMAN HUKO KUZIMU KUTAJAA SIJUI MTAWAWEKA WAPI WENGINE.. 😆 😂 😆 😂 😆

    ushauri tu viongozi wa dini tuliangalie hili upya kama ukiwezekana kufanyia marekebisho iwe hivyo mapema maana kila Misa ya marehemu tunayoenda Kuala nikikumbuka hii dhambi sioni anaerobooaa naona wote mlemle otherwise huko.motoni kutajaa jaman niongeze sauti sijui?? UUshauii tu
  9. JamiiForums Tanzania Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

    Marekani bwana... Wakajidai eti wamemuua Osama Bin Laden. Kumbe uongo. Mbona hawakutuonesha mwili wake? Mbona hawakutuonesha wamemzika wapi? Osama Bin Laden yupo sehemu. Ingawa sijui ni wapi. Ila atakuwa sehemu. Na hili nliambiwa na sheikh wangu siku ile ile ambayo Marekani walijidai wamemuua...
  10. JamiiForums Tanzania Simbanking kupitia Voda wapi shida ipo

    Unamtumia mtu hela kutoka account yako ya CRDB kwenda account nyingine ya CRDB inakuambia umefanikiwa maana ni kweli unaona hata na jina lake linatokea. Ila sasa tatizo kujua kweli zimeingia hadi upigie akumbie zimeingia ila wewe huku hakuna message inakurudia kuwa umetuma hela kwenda kwa flani...
  11. JamiiForums Tanzania Kemikali zinazowekwa katika bidhaa za viwandani hutolewa wapi?

    Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka. Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi? Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi? Mkawe na asubuhi njema.
  12. JamiiForums Tanzania Kiko wapi CHAUSTA Cha Jemsi Mapalala au alikufa nacho?

    Kiko wapi chama Cha CHAUSTA chama Cha Jemsi Mapalala Hayati Sasa?
  13. JamiiForums Tanzania "Sauti ya Wanyonge... Ni Wanyonge Wapi Hawa?" 🤔

    Huwa naliona gazeti Wamachinga likijinasibu na kauli mbiu yake: “Sauti ya Wanyonge.” Lakini mara nyingi kurasa zake za mbele zimepambwa na sura za viongozi wakubwa wa kisiasa, watu wenye nafasi kubwa serikalini, pamoja na mabwenyenye wenye ushawishi wa kifedha na kiserikali. Sasa najiuliza...
  14. JamiiForums Tanzania Botswana Nchi ya WATU 2M inalialia - zenye WATU 60M zifike wapi?

    Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha imeidhinisha bajeti ya dharura ya dola milioni 18.7 ili kuushughulikia mzozo huo. Rais Duma Boko alisema jeshi litasimamia usambazaji wa dawa za dharura, huku shehena za kwanza zikiondoka mara moja katika mji mkuu wa Gaborone na kuyapa kipaumbele maeneo ya vijijini...
  15. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata trekta Right hand drive

    Msaada wakuu wapi nitapata trekta right hand drive? Yoyote anafaham anicheck PM inbox. Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa. adriz
  16. JamiiForums Tanzania Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

    Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui.... Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya...
  17. JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  19. JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  20. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…