wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

    Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana. Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Haki ya Wapalestina

    Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli. Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda za hovyo dhidi ya Wapalestina hazina maana yoyote, tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ushindi feki wa HAMAS ulikuwa ni wa masaa 12. Sasa ni miezi 12 wanapukutika na kusababishia Wapalestina kutaabika

    Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana. Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao. Maafa hayo waliyo wafanyia wana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Holy Redemption: Makala ya mpango mzima wa wizi unaofanywa na Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Watu wengi hususani afrika hawaelewi ugomvi baina ya Wapelestina na Wayahudi. Mara nyingi wamekuwa wakilaumiwa waarabu pale wanapolipiza mabaya wanayofanyiwa na Wayahudi ndani ya ardhi yao. Angalia hii makala na ujue ukatili na unyanyasaji unaofanywa na wavamizi wa kiyahudi dhidi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu. Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulumiwa pale ambapo usingetegemea. Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wakumbuka shuka kukiwa kumekucha

    Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo? Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali? Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote? Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado? Haya si ni yale yale ya makwetu?
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

    Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople. Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wapalestina na mabosi zao wasitishie watu na harakati zao za juzi. Myahudi ameundwa katika harakati zaidi ya miaka 1000

    Mateso ya wavamizi wa Kiajemi Mateso ya wavamizi wa Kigiriki Mateso ya wavamizi wa Kituruki Mateso ya wavamizi wa Kiarabu Mateso ya wavamizi wa Intifada Mateso ya ugaidi wa Kiiran Mateso ya mauaji ya NAZI Mateso ya uhamisho na kufukuzwa Ulaya. Mateso ya waandamanaji na Wapingaji wao...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

    Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Iran imesababisha mauaji ya maelfu ya Wapalestina sasa hivi wamehamia Lebanon kuendeleza harakati zao za kitapeli.

    Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran. Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe. Nini haswa madhumuni ya Iran, kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina?????? Hapana madhumuni ya Iran...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  15. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Kusudio langu la kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa wapalestina na wayahudi

    Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina. Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wamaasai wanaporwa ardhi yao

    Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu. Serikali hii ina mipango gani katika kuuza na kubinafsha rasimali na ardhi ya Tanganyika kwa kuingia mikataba ambayo...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

    Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu. Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine...
  20. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

    Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000 Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000 Hivi vita visitishwe tu sasa
Back
Top Bottom