#Tukubaliane
Sisi watanzania ni waoga
Sisi watanzania tukitishwa tunakimbia,
Sisi watanzania tunataka amani,
Sisi watanzania maswala ya kuvutana hatuyajui,
Sisi watanzania kipaumbele chetu maelewano.
Yes nakubali,
Ila round hii watanzania lazima tuelewane, iwe ni mwanasiasa mkongwe, msani...