wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aise hawa madogo wa PSG wanapiga mpira, wala hawana striker ila mawinga wao wanazunguka kugawana nafasi tatu za ushambuliaji. Counter pressing hatari!

    Ingawa ligi yao ni ya wakulima ila wanaonesha katika UCL kuwa ni tishio, wakipoteza hii UCL ni uzembe wao.
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Familia ya Neema aliyedai badilishiwa mtoto yakataa kata kata kupokea mwili wa Marehemu kuzika, Yadai yule si mtoto wao

    Familia ya NEEMA inaendelea kusisitiza, Nurse Kwa mara ya Kwanza alimletea NEEMA mtoto akiwa kwenye Kanga nyingine ( Hapa Mtoto anaweza kua alikua ndie ila tu Kanga zilichanganywa). Baada ya NEEMA kuhoji Kanga si zake, mtoto huyu Ndani ya kanga zisizo za NEEMA, akarudishwa Kwa Mzazi mwingine...
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

    Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachungaji,maaskofu,manabii,mitume,nk wa Kiafrika ktk ukristo ni MATAJIRI na wafuasi wao wa Kiafrika ni MASKINI?

    au Mungu hawajui hao waumini bali wanajipendekeza kwa yesu hawajui hao waumini??
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

    Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
  8. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa. Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nakumbukaga vijana walivyoumia baada ya kujua kuwa shujaa wao mastermind michael scofield ni shoga😂

    Nafikiri hakunaga TV show ya kizungu illioifikia umaarufu kama wa prison break hadi sasa. Watu walimkubali sana scofield, jinsi gani alivyotumia akili yake zaidi ya nguvu katika kujinusuru yeye na wenzake . Baada ya muda kidogo mwaka 2013 tukaja tukasikia jamaa amejitangaza kuwa ni gay, aisee...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je chadema itaunda vikosi vya kuvamia vikao vya vyama vingine vitakapokuwa vinapitisha wagombea wao, au watawatishia maisha wagombea?

    Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.

    Je uchaguzi ukifanyika 2027 , hawa wabunge na wao wataendelea kubaki madarakani ?.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Suppliers, tunahitaji Jersey kama 10000 za al masry, mashabiki wao tupo

    Kwakweli hii mechi Mimi nikiwa kama mshabiki wa Yanga na Al masry pamoja na wenzangu wengi, tunaisuburi mechi yetu ya pili ya kufuzu dhidi ya makolo aka Simba ambayo itachezwa Kwa Mkapa. Tuna uhakika mkubwa tutapita, Sasa naomba wauzaji wa jezi hasa wa dar es salaam watuletee haraka sana jezi...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora atapata wakati mgumu sana. Namwonya asijaribu kabisa kujiweka karibu na Simba
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuilazimisha Iran iachane na nyuklia wakijua wao na Israel wanazo.Si ndio kulazimisha ujinga huko.

    Kisingizio kikubwa cha Marekani kutaka kuipiga Iran ni kwamba eti lazima iingie makubaliano mapya nayo katika muda uliowekwa na Marekani ili ipokee masharti mapya au ikishindwa ipigwe. Iran imesema hata wakitaka kufanya majadiliano mapya basi si kwa njia ya vitisho kama hivyo.Na kwamba wakipigwa...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waanza kuuana wao kwa wao!! Malipo ni hapa hapa duniani!!

    Ripoti za koo za Gaza kushambulia Hamas wakitaka kulipiza kisasi kwa wale walioteswa na kunyongwa kwa kushiriki katika maandamano ya hivi majuzi. Gaza inaweza kuwa kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kwa hakika sio matokeo ambayo Hamas iliyafikiria wakati ilipoivamia Israel mwaka...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaume waislamu wanafaidi sana maisha, wanajipakulia minyama tu kwa uhuru wote.

    Wagalatia hili suala la mke mmoja tu inabidi liangaliwe tena
  18. H

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika, Wahindi, Wachina, Wajapan, Wakorea, nk hawakuwa na manabii wao?

    Habarini, Kila kukicha Waafrika wanazidi kuwa wajinga kwa kukumbatia manabii wawili mohamad na yesu ambao kiuhalisia siyo asili yao na hawana vinasaba nao kwani yesu ni mzungu wa kuigiza kwenye kitabu cha kutunga biblia na mohamad ni mwarabu wa kwenye kitabu cha kuigiza quruan ambao woooote hawa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania DRC : Waasi wa M23 waripotiwa kuelekea kuunda mfumo wao wa fedha

    Ni miezi miwili sasa tangu pale Jiji la Goma lianguke mikononi mwa kundi la waasi la AFC/M23. Tangu wakati huo, benki zote za biashara zimefungwa kwa maagizo ya mamlaka mjini Kinshasa. Kutokana na hali hiyo, katika jiji hili lenye wakazi zaidi ya milioni moja, madawati ya fedha hayafikiki, fedha...
Back
Top Bottom