wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  2. JamiiForums Tanzania Mama Yake Ana Mahusiano Na Kijana Wao Wa Bodaboda.

    "Habari yako kaka George, Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments. Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na hata ukipost kweye page zako itakuwa vizuri pia na nitakuja kusoma ushauri kutoka kwa wadau...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye moango wao wa nyuklia-Grossi

    "Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur. Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

    Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
  6. JamiiForums Tanzania Zuchu anavyogombanisha madereva na matajiri wao.

    Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability
  7. JamiiForums Tanzania Wazazi wetu walikataa kujihusisha na siasa. Tusilalamike wazazi wa wengine waliowanasiasa wakiwateua watoto wao.

    Sina Deni! Mtoto wa Mtibeli ni Mtibeli. Mtoto wa Kiongozi ni Kiongozi. Mtoto wa Mkulima ni Mkulima. Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Hutaki kujihusisha na siasa, alafu unataka mtoto wako ateuliwe kwenye nafasi za kisiasa. Zinakutosha kweli? Uwezekano wa mtoto wako kuteuliwa nafasi za uongozi ni Finyu...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi bado ni watumwa bila wao kujua?

    Habari Wakuu! Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake au tamaa zake au fikra za mtu mwingine bila ya kutumia akili zake na utashi wake mwenyewe. Na watu...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Marekani inaweza kumuua Supreme Leader Ali Khamenei kwasababu ni "easy target" na inajua wapi alipo ila haitafanya kwa sasa ====== Trump: US could kill Iranian leader but won't - "for now" Donald Trump says the US knows where Iranian Supreme Leader Ali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Jimbo la Kisesa watakubali kumtosa Mbunge wao kipenzi ndugu Mpina kirahisi?

    Hellow! Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani, Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
  12. JamiiForums Tanzania Siyo kila anayekuja Kukuangalia Wodini Hospitalini ukiwa Hoi / Mahututi anakupenda kwani wengine hutaka Upone ili Wao waje Kukumalizia kabisa

    Nadhani wote hapa tumeelewana kabisa na kama haujauelewa huu Uzi wa GENTAMYCINE mtafute Genius akufafanulie.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba tuwajengee Mnara Karia na viongozi wa Bodi kwa Uzalendo wao kwetu

    Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa zaidi ni NAMNA WALIVYOJITOA MUHANGA ILE TAREHE 8 March. Bila wao ilikuwa zichukuliwe point 3 wapewe...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawajatimiza wajibu wao

    Kila mmoja atimize wajibu wake. Kila mpenda demokrasia, Amani, Haki, Usawa, upendo etc etc tc ambao ni wajibu namba moja , atimize wajibu wake. Kila kundi litimize wajibu wake! Nawaakia siku njema yenye Haki na amani
  15. JamiiForums Tanzania Hata kama inabidi wawe na mnyonge wao, basi hakikisha hauwi wewe

    Siku zote chora mstari wako wa uvumilivu unaokutosha.. Hakikisha hauvukwi, hata na yule anaejua unamuheshimu sana.. Huo ndio utakao amua, uwe Boss wa maisha yako, au mtumwa wa furaha za wengine.. Wakijua wanaweza kukufikia, wataanza kwa kukuonesha ulipo udhaifu wako.. Wakielewa...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa yanga wanakwenda kusoma kujiendeleza kielimu Simba wao wamebaki na elimu ya mkoloni kichwani

    I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza maarifa yao . Baada tu ya kijana msomi Eng Hersi said ambaye ni Rais wa yanga na ACA alipokwenda...
  17. JamiiForums Tanzania Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari ni Chadema kujichanganya kisheria. Usiri wao utawagharimu

    Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam. Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Simba SC Wanatudharau mashabiki na wanachama wao kiasi hiki?

    Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa. Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao. Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…