wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake. Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

    Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira! Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi...
  3. JamiiForums Tanzania Moyo wangu ukimkumbuka una piga-Ppaah! Sijui kwanini

    Kiufupi ni mwanamke niliempenda Sana. Niliingia gharama kadhaa kama vile saloon, kusomesha wanae, chakula na mahitaji kadhaa ya mavazi na Yale mengine ambayo huwez ukayazingatia kama mwenye jukumu lake. Baadae alikuja kuona kwamba mumewe ambae hawajafunga ndoa, alihitaji asaidie kulea watoto...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu. Wa katazo la watoto kutosoma kipindi Cha likizo

    Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu,mm nimeona katazo la kamishina wa elimu na waziri WA elimu kuhusu watoto kutosoma kipindi Cha likizo lakin mm ningetoa ushauri wangu kuwa serikali ingelitafakar hili jambo Kwa kinasana Kwan mtoto kukaa mwez mzima bila kuwa na Kaz za kufanya za shule ni...
  6. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

    Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja. Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    T
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

    Habarini wapendwa. Wadau, Mke wangu kapata kazi Taasisi moja ya Kiserikali lakini Kapangiwa Mkoani (Shinyanga). Tupo na watoto wawili sasa, mmoja ni mdogo ananyonya (Mwaka mmoja). Sasa nina changamoto moja. Kwanza nimemshauri kwa kuwa ndio anaenda kwenye mazingira mapya asiende na watoto...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea. Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
  12. JamiiForums Tanzania MKE wangu ameridhia kununua Robot wa kike ili awe MKE Mwenza, nimkubalie au nikatae?

    Kwema Wakuu! Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hakika ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Baada ya tangazo LA ajabu la kubuniwa Kwa ma-Robot ya kike yenye mvuto WA kimapenzi, kumbe MKE wangu nayo aliyaona hayo madude. Kwanza aliyasifia Sana ingawaje ni kiwivuwivu Mimi nikibaki kwenye msimamo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

    Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba. Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake. Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Naachana na mpenzi wangu kisa bei

    Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke yake hasa kiuchumi. Wakati naanza nae alikuwa anafumga nywele miezi hata 4 bila...
  15. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu binafsi baada ya fainali ya kwanza ya shirikisho

    USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii, utani wa jadi wa timu zetu hizi mbili nchini, mara nyingi ni wenye kuumiza upande mmoja au mwingine...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Msimamo wangu ni ule ule, wananchi wasipangiwe idadi ya watoto

    NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya Watu. Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  19. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  20. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mpenzi wangu hana mimba yeyote

    Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa. Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba. Jioni hii nimefanikiwa kumpima MWENUEWE, nimehakikisha amekojolea kwenye kisado akiwa mbele yangu, nikampima na majibu yakaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…