wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

    I salute you kinsmen. Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona. Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  3. JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije

    Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kumpa ujauzito mtoto wa mama yake mdogo. Kuna kipindi nilimp!ga mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu. Urais 2025 Mwinyi aje agombee Bara

    Mwinyi utendaji wake ni mzuri na hana makelele. Anafanya mambo yake kimya kimya na yanaonekana. Ndo nimeelewa kwa nini Magufuli alimtaka Ali Mwinyi. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa kipindi hiki. Samia nadhani aende Zanzibar au sasa apumzike. Mwinyi hata Elimu anayo vizuri. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

    Mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia, Juni 30, 2018 alishikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwamimini risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa waliodai walikuwa katika majukumu yao. Matiss hao walikimbizwa hospitali ya mjini Tarime kupata matibabu Tarime...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kugawa sehemu ya uhuru wangu

    Mimi ni ME Umri 30+ Naishi -Dar es Salaam Kazi -Mjasiriamali Mwenye utayari Awe KE umri : 30< Elimu : kusoma na kuandika tu Makazi : Dar es Salaam Loading............
  7. JamiiForums Tanzania Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  9. JamiiForums Tanzania Historia fupi ya mwaka 2006-2008 Mpenzi wangu Akiwa analea Mtoto Akawa Anafanya Uzinzi

    Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori. Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu mama ni shujaa "kwani mume wangu akipiga sehemu lazima nijue?"

    https://www.facebook.com/reel/2040320036421591
  12. JamiiForums Tanzania Nimechoka kudanga nataka kurudi kwa mume wangu,shida ni mama mkwe

    Habari kaka, mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 7 sasa. Nina miaka 2 tangu kuondoka kwa mume wangu, na niliondoka huku nikimuachia mtoto na kila kitu. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba nilimpata mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Kwa sababu alikuwa na pesa, alinidanganya na...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  15. JamiiForums Tanzania Uliye kuwa unatoka na Ex- wangu please mjali kuwa nae busy basi

    Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au? Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo". Hivi hana watu wengine wa kumufanya...
  16. JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  17. JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  18. JamiiForums Tanzania Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni...

    Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Ombi la Ushauri wa Kuongeza Mtaji kwa Biashara ya Vifaa vya Simu

    Wakuu, habari za kazi? Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza kwa jumla. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu katika hili tafadhali. Asante.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasiliana na mwanaume waliyesoma naye chuo huu mwaka wa sita, kila nikimuuliza kulikoni anasema ni urafiki tu hakuna kingine

    Kifupi nina mashaka na urafiki wao japo sijathibitisha, mpaka sasa tuna ugomvi anasema mimi ni malaya ndio maana nafikiri kila mtu ana tabia za kihuni kama mimi na amesema bora tuachane kama siwezi kumuamini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…