wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake mjiheshimu mnapokuwa maeneo ya kazi

    Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha. Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi...
  2. Ndoa za wake wengi ni chaguo la mwanaume na kwa wanawake ni mila na suna ya imani na hulka ya wingi ndani ya nafsi za kike

    Habarini nyote na Amani iwe nanyi Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na halali ya kuoa wake wengi iwe kimila au katika dini na hata historia ya mitume wengi hata baba yetu...
  3. Mdomo wangu umepelekea wanawake wa mtaa mzima kunitazama kila muda. Waume zao wamenijengea hofu

    Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo inaukumbuka uso wangu. Kuna muda nikitizama kitu najikuta naganda, mwisho wa masaa najisahau kabisa, kuja...
  4. S

    Mh. Rais wetu kwanini shule za maeneo ya mjini Arusha ni wanawake? Mama mpumzishe Mchengerwa

    Mh. Rais wetu nchi hii ina ubaguzi mkubwa, kwanini mnawanyanyasa wanaume? Kwa mfano shule ya msingi na sekondari Kaloleni iliyoko Arusha mjini walimu wote zaidi ya 50 ni wanawake, kwanini, walimu wa kiume wako wapi. Jibu ni kwamba wale walimu ni wake wa viongozi pale Arusha, Mkurugenzi hana...
  5. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  6. Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

    1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga. Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia 2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi. 3...
  7. Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  8. S

    Idd Makengo anatunga stori na kuwapumbaza watu hasa wanawake

    Ukisoma visa ya Idd Makengo, utagundua 99% ni visa vya kutunga. Yaani anatengeneza mtiririko wa matukio bandia ili apate likes na comments akuze page yake. Sasa kwenye comments unakutana na wanawake hata 2000. Wanakoment kwa hisia, kumbe ni hadithi za kutunga.
  9. Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  10. Wanawake na wanasaikolojia mtuelezee hii imekaaje

    Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo? Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na tunataka tujuzwe juu ya hili.
  11. Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

    Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa. Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
  12. "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
  13. Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

    Inshu iko hivi: Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji Sasa leo mwana kafua boksa...
  14. Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

    Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi. Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi. Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria. Wameuona moto...
  15. G

    Top 10, Nchi zinazoongoza kwa kuwabana wanawake kwenye ajira, Kuna uhusiano na dini ?

    Vyanzo vingi vinaonesha nchi hizi ndio zinaongoza kwa kuwa na imbalanced work force, Yaani baadhi ya nchi kwenye hii orodha ni mwiko mwanamke kwenda chuoni, kazi zinabanwa ziwe kwa wanaume tu.
  16. Tems Baby ndie Msanii Bomba na Mzuri Kwa upande wa wanawake Africa.

    Wakuu poleni na majukumu.Niende moja Kwa Moja Kwa mada.Ukweli usio kwepeka huyu mwanadada kutokea Nigeria amekuwa mwenye mvuto kila aendako. Kina Drake Burnaboy na Justin Bieber wamekuwa wakimfuatilia Sana kila anapo rukia Stage. Kwa Binafsi yangu nimemkubali Sana huyu Dada aje tuu hapa Bongo...
  17. Wanawake walioajiriwa wana msongo mkubwa wa mawazo kuliko wanawake wanaoitwa mama wa nyumbani

    Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama. Ukimuona mwanamke haeleweki...
  18. Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  19. Historia ya Bangladesh chini ya watawala wanawake wawili marafiki waliogeuka mahasimu

    Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa Khaleda Zia kisha akaja Sheikh Hasina halafu akarudia Zia tena ndipo akarudi Hasina tena kuanzia mwaka...
  20. Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…