wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

    Wakuu, Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu. Shida yenu ni nini kwani? Nani...
  2. Hivi kwanini lakini iko hivi? Wanawake mkuje huku mtuambie mnawazaga nini.

    Wanawake hudhani kuwa akitumia mwili wake atapata chochote kile kutoka kwa mwanaume!! Haka kasaikolojia sijui walikatoa wapi? Mkuje hapa mtuambie ukweli,, Ni kwanini mnapotumia mitindo yote ya mitego kwa Muhuni kama Sonko bila mafanikio mwishoni huwa hamkubaliani na ukweli kuwa mwamba...
  3. COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  4. Siku hizi wanawake wamekuwa wasaliti kuzidi wanaume

    Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion? Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
  5. Wanawake bora bado wapo, hongera sana mke wa Joseph Haule (Profesa Jay)

    Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake...
  6. Mwanamke Mwenye Hekima: Siri ya Kuijenga Au Kuiangusha Nyumba Yako Katika Mahusiano!

    Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
  7. Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

    Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo. Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu. 1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke? 2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa...
  8. Biggest sexual fantasy ya wanawake ni ku-cheat

    Women's ideal sense of romance is literally cheating. Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine) Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi...
  9. DCEA: Wanawake waongoza kutumia Skanka, Mapenzi yanatajwa kuwa chanzo

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema wamefanikiwa kukamata Kilogramu 1066.105 za dawa za kulevya,mililita 447 za dawa tiba zenye asili ya kulevya, kuteketeza hekari 157.4 za mashamba ya bangi. Akizungumza na wanahabari...
  10. B

    Hawa ndio wanawake tulionao sasa hivi

    Yan mwanaume unatukanwa na mke wako alafu unamuangalia tu ningekua mimi stakshari ingenihusu aseeh-
  11. wanawake wa kishua wanaowapenda washkaji ambao hawana kitu bado wapo kweli?

    Hivi wale wanawake ambao walikua wanawapenda washkaj wakati mshkaji hana kitu alafu huyo mwanamke ni wakishua unakuta anamsaidia mshkaj mpaka anajipata. Hivi wale wanawake bado wapo kweli?
  12. Uchaguzi ujao utakuwa ni wanaume vs wanawake.

    Watawala wetu siku zote na muda wote wanataja wanawake, wanawake, wasichana, wasichana muda wote kwenye mipango yao. Wanaume na wavulana hawasikiki hata kidogo. Kama atajitokeza mgombea mwanaume anaeaminika (sio Lissu) patachimbika. Vijana wa kiume wanavuja damu kwenye mioyo yao. Hawajisikii...
  13. B

    70% ya wahanga Gaza na Lebanon kunakosemekana kuuwawa magaidi, ni wanawake na watoto. Yawezekana maana ya neno gaidi haijulikani!

    Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia. Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi: Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
  14. Wanawake wengi wana siku zao za kununa bila sababu

    📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote). Kama tabia hiyo inajirudia...
  15. Nini huwa kinawafanya wanawake wachukiane au wasipendane wao kwa wao?

    Nini huwa kinasababisha wanawake kuchukiana au kutopendana wao kwa wao? Ukikuta wanaume wanachukiana au hawapendani mahali mara nyingi kutakuwa na maslahi ila wanawake wana tabia fulani hivi ya kuchukiana au kutopendana tu bila hata sababu za msingi. Mimi hata katika huduma mbalimbali huwa...
  16. Sifa za 'bad guys' zinazowanya wapendwe na wanawake. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa bad guys)

    SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys) Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu kadhaa. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuelezea kwanini "bad guys" wanavutia wanawake licha ya...
  17. Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga. Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
  18. Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Wanabodi Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
  19. Niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza, mbona siwaoni?

    Nikiwa O Level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza Mbona huku chuo siwaoni? AU wanakuwa wapi? Mbona kila nikitongoza nakataliwa? Mbona mademu wanapenda Hela?
  20. B

    NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

    Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…