Katika hali isiyo ya kawaida amq kutokana na kukosa uzoefu, hofu, wasiwasi, kutofanya mazoezi, punyeto, msongo wa mawazo, lishe duni, kurithi na mengineyo mwanaume anaweza kukumbwa na tatizo la kumwaga mapema.
Kwa hali hii kwa mwanaume ambaye hajafanya kwa mda mrefu ni kawaida kukumbwa na hili...