wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  2. Duniani raha ya kweli wanayo Wanawake

    Hii ipo kimtazamo, pamoja na hofu ya u single mother, umri kwenda, hofu kukosa ndoa au kuolewa, wanawake wanabaki kutawala dunia ya raha na furaha, wengi waume za watu wanaenjoy na masingle baby na masingle mother na ufariji waupatao huzidi wake wa ndoa, wanawake wamejaliwa kufurahi kucheka...
  3. Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  4. Wanawake wana siri nyingi sana

    Tuingie front Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie. Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka. Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu...
  5. Kumiliki gari ni matatizo matupu

    Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi. Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra. 1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari...
  6. Februari 11: Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi

    Katika miongo kadhaa iliyopita, Mataifa na Jumuiya za Kimataifa zimefanya jitihada nyingi katika kuwatia moyo na kuwashirikisha Wanawake na Wasichana katika Sayansi. Wakati ulimwengu unaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi, ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana...
  7. L

    Mkakati wa kuwashirikisha wanawake wa Afrika kifedha na kiuchumi waonesha matumaini

    Na Pili Mwinyi Mkutano wa 35 wa Umoja wa Afrika (AU) wa wakuu wa nchi na serikali ulifanyika hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja huo yaliyopo Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo uligusia masuala mbalimbali yakiwemo COVID-19 pamoja na wimbi la mapinduzi na majaribio ya mapinduzi lililoibuka...
  8. Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu: Wanawake, Wasichana waendelea kuwa walengwa wakubwa

    Kila mwaka, maelfu ya Wanawake, Wanaume na Watoto hujikuta mikononi mwa wanaojihusisha na Biashara hii haramu katika Mataifa yao na Nje. Karibu kila Nchi duniani inaathiriwa na Biashara haramu ya usafirishaji binadamu Kwa mujibu wa UN, Mwaka 2018 takriban wahanga 50,000 walibainika na...
  9. Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

    Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi! Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako. Ni kweli utamlainisha kwa noti...
  10. B

    Wanawake wengi sio "Watu"

    Nkikumbuka walivyofanyiwa PJ Washington, Mason Greenwood, Reginald Mengi, etc mwanamke ni mnyama hatari sana kuishi naye, especially kama hana hisia na wewe. Na yuko kwako sababu ya hela, mwanamke ukiwa unamtongoza halafu akawa hana hisia na wewe, anaweza hata akakuua huku anakuangalia usoni...
  11. Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

    Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni...
  12. Nionavyo mimi, hakuna nchi inaongoza kwa Wanawake kutongozwa na Wanaume wengi kwa siku kama Tanzania

    Hii ni independent study yangu. Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya wanaume 2. Ni mazingira ya kutokuwepo mapenzi ya dhati kama nchi zingine. Na ugumu wa maisha...
  13. Wanawake: Wale wa kula 'kipostive' mmewashindwa je, wale sisi wa kula 'kifestival ' mtatuweza?

    Nimeulizwa et oooh unantakia nini? Nikauliza unaniona kipostive et eeeh? Mi nikamwambia mi wa kifestival na ni habari ya dunia hata pasaka na Valentine vinasubiri, akauliza tena wee si umeoa? Nikamjibu ndiomana namba umenpa uko na akli tmamu. Wa Kifestval nshapta nae sasa asubr ufafanuz...
  14. Ushauri: Nioe yupi Kati ya hawa wanawake wawili?

    Habari za siku wadau Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu katika mapambano ya kutafuta mwenza wa maisha nimejikuta naangukia kwa wanawake wawili ambao wote naona ni bora wanavigezo vile nilivyokuwa nahitaji. Mimi siku zote nimekuwa navutiwa zaidi na mwanamke ambaye hana tamaa ya vitu...
  15. Wanawake, kwanini mnavaa nguo za kubana?

    Kwanini mmeamua kuvaa nguo za kubana tu?! Ndilo dukuduku langu. Si wake za watu, si mabinti, si wasichana wadogo si watoto wadogo wakike! si gauni, si blauz, si sketi, si suruali! Si kanisani, si kazini, si mtaani, si mjini si kwenye sherehe! jambo moja kwenu linafanana, NGUO ZA KUWACHORA! na...
  16. Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  17. Wanaume wengi wa kizungu wana pisi kali za kiafrika lakini wanaume wa kiafrika wapo na kina bibi / wanawake wa kawaida wa kizungu

    Kiukweli huwa nashindwa kung'amua hili jambo. Unaweza kukuta mzungu wa kawaida kabisa anaweza kutoka na pisi kali ya kiafrika lakini mwanaume wa kiafrika ambaye yupo vizuri tu atajisifia ku date hata na bibi wa kizungu ilimradi ka date na mzungu. Yani kwa lugha rahisi mzungu anaweza kumpata...
  18. Hao wanawake mnaowahonga hovyo hakikisheni mnawaoa wenyewe

    Sio mnawazoesha ujinga halafu wanakuja kutusumbua wengine.🤣🤣🤣🤣
  19. Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

    [emoji725][emoji725][emoji725][emoji725] Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu, Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi ya dakika 30+, jinsi gan ya kufanya uume uwe ngangari Unaposimama, jinsi gan uwe na uwezo wa kurudia...
  20. USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    MASWALI NA HOJA ZA WADAU KUHUSU SUALA LA VITI MAALUMU TANZANIA Wakuu leo katika kupitia maandishi ya gazeti la mwananchi nimekutana na kichwa cha habari kisemacho Wabunge wa viti maalum ni feki kikatiba hivyo waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (sera utaratibu wa bunge) Philip Marmo alisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…